moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
👍👍Kwenye maisha watu wengi hukosa kufanikiwa pamoja na uwezo wao mkubwa sababu ya kukosa unyenyekevu na utii."
✅️✅️Kwenye maisha watu wengi hukosa kufanikiwa pamoja na uwezo wao mkubwa sababu ya kukosa unyenyekevu na utii."
Ujumbe huoAnzia ulipo. Tumia ulichonacho. Fanya unachoweza.” - Arthur Ashe
Mtu anapojua sababu ya kuishi, anaweza kuvumilia karibu kila namna ya kuishi
SAHIHIUkiona Unaweza Kutafuta Chako Hakikisha Unatafuta Ila Ukiona Huwezi Kutafuta Chako , Acha Kuwadharau Wanaotafuta Vya Kwao
SawasawaMtu anapojua sababu ya kuishi, anaweza kuvumilia karibu kila namna ya kuishi
AiseeKuna vifo vingi vya watu vinatokea Kwa sababu tu, Hawataki kufa Maskini. Tuwe makini na Upambanaji wetu.
SawasawaEndelea kufanya usumbufu, Usijihisi unajipendekeza, Usiache Kufosi, Kuna fursa Huwa hazifunguki kwa Kugonga Mlango Mara moja.
SawaEndelea kufanya usumbufu, Usijihisi unajipendekeza, Usiache Kufosi, Kuna fursa Huwa hazifunguki kwa Kugonga Mlango Mara moja.
SawaUkihitaji kuruka mbali zaidi, Inakubidi Urudi nyuma Sana.