myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubalianaFanya maboresho sio visingizio.Tafuta heshima sio umaarufu
Kweli hiliKatika maisha yako usisahu kumshukuru
kila alie kupa nafasi hata kama alikupa kwa
masimango.
✔️✔️Unaweza kuzingatia kile kinachokutenganisha au kile kinachokuunganisha kama tu kinakutenganisha na shari na kinakuunganisha mafanikio!
SawaKatika maisha yako usisahu kumshukuru
kila alie kupa nafasi hata kama alikupa kwa
masimango.
SawaHakuna atakayekuja kukuokoa.
Maisha yako ni jukumu lako la asilimia 100
SawasawaRafiki mmoja wa kweli anatosha kuliko kundi la wanafiki.
Tafuta mtu anayekutia moyo na kusherekea mafanikio yako.
Hili nakubaliana naloRafiki mmoja wa kweli anatosha kuliko kundi la wanafiki.
Tafuta mtu anayekutia moyo na kusherekea mafanikio yako.
SawasawaUkisubiri muda sahihi, maisha yatakupita. Anza sasa, hakuna wakati kamili.
📌📌Watu wengi huishi bila malengo wala mwelekeo.
Elewa mahitaji yako. Kuwa mtu wa kusudi
✔️✔️Familia unayoijenga ni muhimu zaidi kuliko ile uliyotoka.
Jenga msingi bora kwa kizazi chako.
👍👍Familia unayoijenga ni muhimu zaidi kuliko ile uliyotoka.
Jenga msingi bora kwa kizazi chako.
Kazi uliyonayo haikujali.
Wanakulipa kiasi cha kukufanya usiache kazi, lakini si cha kutimiza ndoto zako.