myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NAKUBALIJikomboe kutoka ushauri wa jamii.
Wengi hawajui wanachofanya, usifuate mkumbo.
NAKUBALIJikomboe kutoka ushauri wa jamii.
Wengi hawajui wanachofanya, usifuate mkumbo.
PIA NAKUBALIJikomboe kutoka ushauri wa jamii.
Wengi hawajui wanachofanya, usifuate mkumbo.
MUHIMUUkiona mtu mwenye akili zaidi yako, shirikiana naye.
Usimshindane, mshindano ni udhaifu. Ushirikiano hujenga
✔️✔️✔️Si kila unachotamani ni bora kwako baadhi ya vitu hucheleweshwa ili usiangamie.
👍👍Epuka drama zisizo na maana.
Kimya mara nyingi ni suluhisho bora kuliko malumbano.
Kimya ni hekima.
Huna haja ya kusema kila kitu. Kuna nguvu kubwa kwenye kukaa kimya.
SawasawaEpuka drama zisizo na maana.
Kimya mara nyingi ni suluhisho bora kuliko malumbano.
Ukihitaji kupumzika fanya hivyo, dunia haitasimama kwasababu hujafanya kazi leo
Usiogope kukosea, ogopa kukosea na ukose hata mtu wa kukusema vibaya
📌📌Usiogope kukosea, ogopa kukosea na ukose hata mtu wa kukusema vibaya.
SawasawaUsiogope kukosea, ogopa kukosea na ukose hata mtu wa kukusema vibaya
👍👍Ukiona mtu anaanza kukuita kwa majina ya heshima ghafla, jua kuna kitu anahitaji.
✔️✔️Mtoto anapokua, penseli hubadilishwa kuwa kalamu ili atambue kuwa sasa si rahisi kufuta kosa.
📌📌Ukiona mtu anaanza kukuita kwa majina ya heshima ghafla, jua kuna kitu anahitaji.
👍👍Watu hawakumbuki jinsi ulivyowasaidia, bali wanakumbuka uliposhindwa kuwasaidia mara moja.
Mtoto anapokua, penseli hubadilishwa kuwa kalamu ili atambue kuwa sasa si rahisi kufuta kosa.
Jioni hiyoooo inaagaUsikate tamaa kwa sababu hujaonekana, mti huota kwa muda mrefu kabla haujaonekana juu ya ardhi.
SawasawaMafanikio yanayo athiri afya yako ni hasara.
Kweli kabisaUnapokutana na watu wema - WAHESHIMU.