Unaweza kumtenganisha mkosaji na kosa lake. Unaweza kuzungumzia kosa na ukamheshimu mkosaji. Unaweza kumkosoa mtu na ukautunza utu wake. Ukiuweza mtihani huo mgumu mkosolewaji atakusikiliza na uwezekano wa kuufanyia kazi ukosoaji wako unakuwa mkubwa.
Ikifika pahala akakupa uhuru wa kufanya upendavyo, akanyamaza, hasemi, halalamiki, unakosea na unajua na huambiwi lolote, pengine unahitaji kusoma aya ya kwanza kwa utulivu zaidi.