myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tunaweza kufanikisha ndoto zetu, ikiwa tutakuwa na moyo wa kuzipigania”
-Walt Disney
SAHIHIFursa hazitokei, unazitengeneza"
-- Chriss Grosser
Kuna watu aina mbili ambao watakwambia huwezi kuleta mabadiliko ulimwenguni: ambaye anaogopa kujaribu kufanya jambo na yule anaehofia utampiku kwenye jambo hilo"
-Ray Goforth
Hujachelewa kuwa vile ulivyopaswa kuwa"
-- George Eliot
SawasawaMabadiliko hayatakuja ikiwa tutamsubiri mtu au muda Fulani ufike. Sisi ndio wahusika wa mabadiliko. Sisi ndio mabadiliko yenyewe”
- Barack Obama
Kweli hiliMabadiliko hayatakuja ikiwa tutamsubiri mtu au muda Fulani ufike. Sisi ndio wahusika wa mabadiliko. Sisi ndio mabadiliko yenyewe”
- Barack Obama
Nakubaliana na weweMafanikio makubwa ndio kisasi kitamu"
- - Frank Sinatra
✅️✅️✅️Haijalishi unakwenda polepole ilimradi tu usisimame. ...
Haijalishi unakwenda polepole ilimradi tu usisimame. ...
Muda mwingine inaweza kuchukua hata miaka kumi kuupata mwaka mmoja utakao badilisha kilakitu katika maisha yako,Hutakiwi kukata tamaa.
Uko sawa kabisaHakuna kitu cha kudumu isipokua mabadiliko....
✔️✔️Kitu kigumu zaidi katika maisha ni Kuamua, Unaweza kufanya chochote unachotaka kufanya,Unaweza kutenda na kubadili maisha yako kabisa ikiwa tu utaamua.
📌📌Katika kufanikiwa kwako usithubutu kuona wenzako ambao bado wanatafuta kuwa ni wavivu au hawana bahati.
✅️✅️Katika kufanikiwa kwako usithubutu kuona wenzako ambao bado wanatafuta kuwa ni wavivu au hawana bahati.
SawasawaCheza kama vile hakuna anae kutazama,Penda kama vile hutakuja uumizwe,Imba kama vile hakuna anae kusikiaNa ishi kama vile upo pepo ya duniani.
Mafanikio hayaji kama ajali, Bali huja kwa kazi ngumu,Uvumilivu,Kujituma,Kujifunza,Kujitoa na zaidi ya yote Upendo kwa kile unachofanya au kujifunza kufanya
Mafanikio hayaji kama ajali, Bali huja kwa kazi ngumu,Uvumilivu,Kujituma,Kujifunza,Kujitoa na zaidi ya yote Upendo kwa kile unachofanya au kujifunza kufanya....