myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Sauti ya maskini uwa haiendi mbali pambana upate chako ili ukiongea usikilizwe
📌📌Sauti ya maskini uwa haiendi mbali pambana upate chako ili ukiongea usikilizwe
SawasawaAnza siku yako kwa matumaini na moyo wa shukrani. Usiruhusu jana iharibu leo. Kila siku mpya ni nafasi mpya ya kujaribu tena na kuwa bora kuliko jana.
Usisahau tabasamu lako, linaweza kuleta nuru kwa mtu na kukufanya uanze siku yako kwa amani na furaha
Nakubaliana na hiliAnza siku yako kwa matumaini na moyo wa shukrani. Usiruhusu jana iharibu leo. Kila siku mpya ni nafasi mpya ya kujaribu tena na kuwa bora kuliko jana.
Usisahau tabasamu lako, linaweza kuleta nuru kwa mtu na kukufanya uanze siku yako kwa amani na furaha
👍👍Haijalishi Utakuwa Mwema kiasi gani ila kamwe huwezi kumtosheleza Mtu mwenye Tamaa
✅️✅️✅️Kama ambavyo husifii kila Mtu pale mmoja anapokufanyia jambo jema. Hivyo hivyo usilaumu kila mtu pale mmoja anapokufanyia jambo baya.
📌📌📌Kama ambavyo husifii kila Mtu pale mmoja anapokufanyia jambo jema. Hivyo hivyo usilaumu kila mtu pale mmoja anapokufanyia jambo baya.
Hiki lipo kabisaHaijalishi Utakuwa Mwema kiasi gani ila kamwe huwezi kumtosheleza Mtu mwenye Tamaa
Hakuna kauli ya uongo kama “tuko nyuma yako”
Nakubaliana na weweMtu sahihi kwenye Maisha yako haangaliwi Kwa kigezo cha Pesa alizonazo zingatia tabia, utu wake, thamani yake kwako na upendo wake kwako
✔️✔️Uzuri na Nguvu zitaisha kinachodumu ni wema uliopanda kwenye mioyo ya watu
✅️✅️Uzuri na Nguvu zitaisha kinachodumu ni wema uliopanda kwenye mioyo ya watu
Usikurupuke kutolea maamuzi vitu ulivyovisikia tu bila ya kuwa na uthibitisho navyo. Watu wapuuzi sana hasa wanapopata maneno na kukuletea.
✅️✅️Furaha ya kutengenezewa haidumu, Jipende muombe Mungu wako na tengeneza kesho yako ilo bora
✔️✔️Watu wema ivi bado wapo na kama wapo,tuishi nao kama chemli/mfiche na sio mshuma/atazima.
📌📌Watu wema ivi bado wapo na kama wapo,tuishi nao kama chemli/mfiche na sio mshuma/atazima.
👍👍Matarajio ni mengi kwenye malengo yao, weka matarajio yako kwenye lengo lako