myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliDunia Ina kila aina ya watu wewe kuwa mtu wa kutenda mema hata Kama unalipwa fadhila za ubaya
KweliDunia Ina kila aina ya watu wewe kuwa mtu wa kutenda mema hata Kama unalipwa fadhila za ubaya
✔️✔️Usilazimishe mlango ufunguke kama ufunguo sio wako, huenda ndani kuna kilichoandaliwa kwa mwingine
✅️✅️Maamuzi mazuri ya kufanya siku zote ni yale ambayo hatutajutia.
SawaUsilazimishe mlango ufunguke kama ufunguo sio wako, huenda ndani kuna kilichoandaliwa kwa mwingine
Kweli kabisaWanaosubiri anguko lako ni wengi kuliko Wanaosubiri mafanikio yako
SawaUvivu utakufanya Kupoteza maisha unayostahili.
SawasawaDunia Haina Huruma
Ukiona Ni Sifa Kuhangaika Kufanya Vitu Vigumu Kwa Akili Ya Kujifanya Hustler UTAUMIA.Work Smarter ,Not Harder.
SawasawaHekima ni kujua kutofautisha wakati wa kusema na wakati wa kunyamaza.
📌📌Dunia Haina Huruma
Ukiona Ni Sifa Kuhangaika Kufanya Vitu Vigumu Kwa Akili Ya Kujifanya Hustler UTAUMIA.Work Smarter ,Not Harder.
Uvivu pembeniUvivu utakufanya Kupoteza maisha unayostahili.
Kusamehe si kualika watu waliorarua moyo wako ni kuachilia mzigo wao bila kuruhusu warudie safari hiyo tena
👍👍👍Bora uwe na Mawazo Ya Kanisani/msikitini Ukiwa Bar kuliko uwe na Mawazo ya Bar Ukiwa Kanisani/msikitini
UVIVU TUPA PEMBENIUvivu utakufanya Kupoteza maisha unayostahili.
Watu wanapovunja uaminifu kwako usijione mjinga kwa kuwa uliwaamini, Wala hauna kosa lolote ni wao tu ndio wajinga maana wameshindwa Kutunza uaminifu
Katika kufanikiwa kwako usithubu kuona wenzako ambao bado wanatafuta kuwa ni wavivu au hawana bahati.
Ulimi ni kiungo kidogo tu ila kinaweza kusababisha makubwa sana. Kabla ya kuongea kisikilize kwanza unachotaka kuongea, je hakitaleta athari kwa mwingine
Watu wanapovunja uaminifu kwako usijione mjinga kwa kuwa uliwaamini, Wala hauna kosa lolote ni wao tu ndio wajinga maana wameshindwa Kutunza uaminifu