Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UKIKUTANA NAYE UFANYE

Kwanza kaa ukijua fisi sio mnyama wa
kumchezea, naye ana uwezo wa kukurarua vile
vile, usijeanza fikiria zile hadithi za shule ya
msingi ukamchukulia pia, sungura mwenyewe
akimuona anafungua njia vibaya sana,
japokuwa si kiumbe anayevamia moja kwa
moja, huuma kwa kuvizia, jihami vya kutosha
na uwe na silaha nzuri kama fimbo nzito, mawe
yenye ujazo mzito, na usimpe nafasi ya
kumuonesha unamuogopa japokuwa kicheko
chake chaweza kukutia hofu Mara dufu.
UJUMBE HUU MUHIMU SANA
 
NYUMBU HAWAJALI.
-Nyumbu hajui chochote hata kama kuna tukio,
nyumbu yeye anaamua atakacho.Mfano
ikitokea amezaa mara Simba anamkimbiza,
atakimbia hata hatakumbuka mtoto.Ni
wachache saba wanaokumbuka watoto na kina
muda wanajua njia kuwa njia hii inamamba au
adui lakini hawajali wanapita tu.
Aisee..
 
NYUMBU HAWAJALI.
-Nyumbu hajui chochote hata kama kuna tukio,
nyumbu yeye anaamua atakacho.Mfano
ikitokea amezaa mara Simba anamkimbiza,
atakimbia hata hatakumbuka mtoto.Ni
wachache saba wanaokumbuka watoto na kina
muda wanajua njia kuwa njia hii inamamba au
adui lakini hawajali wanapita tu.
Aisee
 
Tabia za Nyumbu ni kama:-
1:NYUMBU ANAUWEZO MDOGO SANA WA
AKILI.
-Mfano mzuri,Nyumbu wanaweza kuwa na kiu
wakaamua kwenda kunywa maji kwenye mto
wa mamba (🐊🐊🐊),wenzao wakiliwa wao
wataendelea kunywa maji hapo hapo hata
wakarudi siku nyingine kunywa maji
nakusahau kama wenzao waliliwa katika mto
huo.
Usiitwe Nyumbu aisee...
 
Nyumbu wa Serengeti hula na kuzaliana
nyakati za masika tu.endapo kiangazi kitaingia
nyumbuwote hufunga safari na kuelekea
hifadhi jilani ya Kenya (masaimar). Nyakati
hizo huko kenya huwa kunamalisho yakutosha,
nyumbu hukaa miezi isiyopungua 6 ndipo
hufanya safari zao.
Sawasawa ✔️
 
Back
Top Bottom