Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UKIKUTANA NAYE UFANYE

Kwanza kaa ukijua fisi sio mnyama wa
kumchezea, naye ana uwezo wa kukurarua vile
vile, usijeanza fikiria zile hadithi za shule ya
msingi ukamchukulia pia, sungura mwenyewe
akimuona anafungua njia vibaya sana,
japokuwa si kiumbe anayevamia moja kwa
moja, huuma kwa kuvizia, jihami vya kutosha
na uwe na silaha nzuri kama fimbo nzito, mawe
yenye ujazo mzito, na usimpe nafasi ya
kumuonesha unamuogopa japokuwa kicheko
chake chaweza kukutia hofu Mara dufu.
 
Gj1dxZeXwAArFPk.jpg
 
Nyumbu ni mnyama anaepatikana sana katika
ukanda wa Savana na nchi za Afrika Mashariki.
Nyumbu yuko katika familia ya "Bovidae",katika
kundi hili hujumuisha wanyana aina ya Swala,
Ng'ombe,Mbuzi,Kondoo n.k.
 
Kufikia kipindi cha mwezi wa pili na watatu,
Nyumbu huzaliana sana na kufikia Nyumbu
laki tano (500,000) wanaozaliwa kipindi hicho
kila mwaka.Kutokana na tabia nyingi za
nyumbu zisizoeleweka,basi watu
humfananisha mtu asiejitambua sawa na
nyumbu.
 
Tabia za Nyumbu ni kama:-
1:NYUMBU ANAUWEZO MDOGO SANA WA
AKILI.
-Mfano mzuri,Nyumbu wanaweza kuwa na kiu
wakaamua kwenda kunywa maji kwenye mto
wa mamba (🐊🐊🐊),wenzao wakiliwa wao
wataendelea kunywa maji hapo hapo hata
wakarudi siku nyingine kunywa maji
nakusahau kama wenzao waliliwa katika mto
huo.
 
NYUMBU HAWANA UTAMADUNI WA
KUSAIDIANA.
-Nyumbu mmoja kati yao anapokamatwa au
kufukuzwa na adui inapotokea hatari kila
mmoja anatafuta namna ya kujiokoa
mwenyewe au wanaomuona analiwa
wanamtazama tu.
 
NYUMBU HAWANA UTAMADUNI WA
KUSAIDIANA.
-Nyumbu mmoja kati yao anapokamatwa au
kufukuzwa na adui inapotokea hatari kila
mmoja anatafuta namna ya kujiokoa
mwenyewe au wanaomuona analiwa
wanamtazama tu.
 
NYUMBU HAWANA MSIMAMO.
-Nyumbu haeleweki,mfano anaweza kuona
wenzake wanakimbia kuelekea kulia yeye bila
kujua anaanza mbio akifika katikati anaweza
kubadili tena njia maana Simba huwa
anawatisha halafu anatulia,anaacha
wajichanganye!.
 
NYUMBU HAWAJALI.
-Nyumbu hajui chochote hata kama kuna tukio,
nyumbu yeye anaamua atakacho.Mfano
ikitokea amezaa mara Simba anamkimbiza,
atakimbia hata hatakumbuka mtoto.Ni
wachache saba wanaokumbuka watoto na kina
muda wanajua njia kuwa njia hii inamamba au
adui lakini hawajali wanapita tu.
 
Back
Top Bottom