Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fisi wanaogopa sana dume la simba,
wanaweza kuwasumbua majike wa simba
watatu lakini likija dume huwa linahakikisha
mmoja kati yao anachechemea, hivyo
wanapomuona simba dume hupiga kelele za
kupeana habari kuna hatari.
 
Viumbe hawa wakijihakikishia akiba ya chakula
katika himaya zao, basi hufanya sherehe na
sherehe zao huwa na ufanano na sherehe za
binadamu, hucheza, hufurahi, hufanya ngono
na ugomvi huzuka pia wakati huo watoto wote
hufichwa ndani ya nyumba.
 
WANYAMA WABABE KWA FISI

Fisi ni mnyama mnyonge sana na ni mnyama
ambaye karibia wanyama wote wawindaji ni
wababe kwake, kinachowasaidia ni hali ile ya
kutembea makundi makundi yaani kifamilia,
ndio huwafanya na wao waonekane kidogo
wanajiweza.
 
Back
Top Bottom