Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NYUMBU HAWAJALI.
-Nyumbu hajui chochote hata kama kuna tukio,
nyumbu yeye anaamua atakacho.Mfano
ikitokea amezaa mara Simba anamkimbiza,
atakimbia hata hatakumbuka mtoto.Ni
wachache saba wanaokumbuka watoto na kina
muda wanajua njia kuwa njia hii inamamba au
adui lakini hawajali wanapita tu.
 
NYUMBU HAWAJUI KUJITETEA.
-Nyumbu anakata tamaa kirahisi sana,hajui
kupambana kama Pundamilia maana
Pundamilia analiwa lakini kwa shida sana ila
nyumbu akikamatwa tu basi hutulia na kuliwa
bila shida.
 
NYUMBU HAWAJUI KUJITETEA.
-Nyumbu anakata tamaa kirahisi sana,hajui
kupambana kama Pundamilia maana
Pundamilia analiwa lakini kwa shida sana ila
nyumbu akikamatwa tu basi hutulia na kuliwa
bila shida.
 
Nyumbu ( wildebeest) uzito 140 hadi 220
kulingana na afya yake, hupendelea kula nyasi
ndogo ndogo zinazochipua, kama hatopata
suluba huishi hadi miaka 17 na kidogo.uzee
ukimzidi akishindwa kufanya safari kutafta
malisho na wenzake basi hufa kwa njaa, eidha
ufanywa kitoweo cha jioni na mtawala wa
eneo hilo (simba)
 
Kundi LA nyumbu huwa kati ya 10,000 hadi
90,000. Endapo majani yapo yakutosha
nyumbu huongezeka idadi hadi kufikia 100,000
na zaidi.vipindi vya mvua nyingi ndipo nymbu
huzaliana kwa kasi zaidi,
 
Kundi LA nyumbu huwa kati ya 10,000 hadi
90,000. Endapo majani yapo yakutosha
nyumbu huongezeka idadi hadi kufikia 100,000
na zaidi.vipindi vya mvua nyingi ndipo nymbu
huzaliana kwa kasi zaidi,
 
Nyumbu wa Serengeti hula na kuzaliana
nyakati za masika tu.endapo kiangazi kitaingia
nyumbuwote hufunga safari na kuelekea
hifadhi jilani ya Kenya (masaimar). Nyakati
hizo huko kenya huwa kunamalisho yakutosha,
nyumbu hukaa miezi isiyopungua 6 ndipo
hufanya safari zao.
 
yaani nyumbu
amebeba muonekano wa wanyama
wasiopungua 7, ngoja nikujuze,

Nywele za shingoni; SIMBA
Mkia: FARASI
Ndevu:MBUZI
Mapaja ya nyuma; PUNDA MILIA
Mgongo :ng'ombe
Miguu ya mbele milefu yanyuma mifupi ; FISI
 
Watu husema nyumbu ni mwoga na mzembe

Nyumbu wakiwa katika kundi huwa ni waoga
saaaana, yaani at a mtoto wa duma mwenye
mwezi mmoja anaweza kutishia kundi LA
nyumbu 20000 na wakakimbia, na asiwepo
nyumbu wa kudinda ata kugeuka nyuma
 
Ila nyumbu akiwa mwenyew huwa haogopi .ni
mala chache mno nyumbu aliye pekeake
kumkimbia adui yake, nyumbu akiwa
mwenyewe huwa anajiona kama tembo au
kifaru, huwa ni hatari zaidi ata duma hutegea
wawe kwenye kundi ndio wavamie.
 
Nyumbu wakiwa safarini hawajawai kupisha
kitu chochote kilichopo mbeleyao. Wakiwa
katika mwendo wa mchaka mchaka wakiluka
mabonde na mapolomoko, wakivuka mito
mikubwa mithiri ya wanajeshi wakiwa
mafunzoni.
 
Back
Top Bottom