myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMtu mpweke ni rahisi kupata wivu juu ya wengine wenye kuonekana kufurahia maisha. Moja ya njia ya kupunguza upweke wake ni kwa kutibua furaha za wenzake."
SawasawaMtu mpweke ni rahisi kupata wivu juu ya wengine wenye kuonekana kufurahia maisha. Moja ya njia ya kupunguza upweke wake ni kwa kutibua furaha za wenzake."
SawaUkishajua kuwa maisha ni mseto wa nyakati fupifupi za shida na raha,hauwezi tolewa kwenye reli na ugumu unaopitia!
Furaha yakoFuraha ya kweli katika maisha ni pale tu unapokuwa na amani ya moyoni, bila kujali hali ya maisha uliyonayo.
✅️✅️Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu unapokuwa na amani ya moyoni, bila kujali hali ya maisha uliyonayo.
SawasawaFuraha ya kweli katika maisha ni pale tu unapokuwa na amani ya moyoni, bila kujali hali ya maisha uliyonayo.
👍👍👍Kuitafuta furaha ndio mtihani wetu katika maisha ya dunia, kuipata furaha ndio kilele cha mafanikio yetu duniani. Furaha ni fumbo la maisha.
Ni sahihiKila mtu ana wito wake; ni rahisi sana kufanikiwa ukielekeza nguvu katika wito wako kuliko wa mwenzako. Hujachelewa; itikia wito wako sasa."
KweliFaragha ndio utu wa mtu. Itunze.
SawasawaFaragha ndio utu wa mtu. Itunze.
SawaFaragha ndio utu wa mtu. Itunze.
✔️✔️✔️Ukiona watu hawakuelewi, ujue hujaeleweka; usiwakasirikie, endelea kuwaelewesha zaidi hadi waelewe. Ukiwakasirikia, unawafanya wasikuelewe zaidi."
✔️👍Matatizo mengi kwenye maisha yako ya sasa ni matatizo madogo ya zamani yaliyodharauliwa."
UjumbeMatatizo mengi kwenye maisha yako ya sasa ni matatizo madogo ya zamani yaliyodharauliwa."
SawaKuwekeza nusu ya jitihada na kutegemea matokeo makubwa ni kuamini katika mazingaombwe na ushirikina. Matokeo makubwa ni zao la jitihada kubwa
📌📌Upepo ukiupatia, unaweza kukupepea; na ukiukosea, unaweza kukupeperusha. Tatizo si upepo, tatizo ni maarifa yako." ~Togolani Mavura.
Ujumbe muhimuUpepo ukiupatia, unaweza kukupepea; na ukiukosea, unaweza kukupeperusha. Tatizo si upepo, tatizo ni maarifa yako." ~Togolani Mavura.
Pia Ujumbe muhimuUsiitafute shari, ila pale inapokutafuta wewe ikabili. Mwenyezi Mungu husimama upande wa mwenye kuikabili shari, maana haki iko upande wake." ~Togolani Mavura.
📌📌📌Usiitafute shari, ila pale inapokutafuta wewe ikabili. Mwenyezi Mungu husimama upande wa mwenye kuikabili shari, maana haki iko upande wake." ~Togolani Mavura.
Ujumbe huu muhimuKuwekeza nusu ya jitihada na kutegemea matokeo makubwa ni kuamini katika mazingaombwe na ushirikina. Matokeo makubwa ni zao la jitihada kubwa
UsahihiKila anapoinuka mjasiriamali mmoja, tunapiga hatua kwenye kupambana na umasikini; kila anapoanguka mjasiriamali mmoja, tunarudi nyuma hatua 100." ~Togolani Mavura.