myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaUsibadilishe Maisha Yako ili Umpate Mtu sahihi, Ishi Maisha Yako tu Mungu Atakupa Mtu sahihi kwa wakati sahihi.
SawasawaUsibadilishe Maisha Yako ili Umpate Mtu sahihi, Ishi Maisha Yako tu Mungu Atakupa Mtu sahihi kwa wakati sahihi.
📌📌📌Kama moyo wako haubebi chuki, tayari wewe ni mtu wa thamani. Maisha ni mafupi sana kubeba kinyongo cha jana. Ukisafisha roho yako, hapo ndipo furaha ya kweli inapoanza. Epuka chuki na vinyongo visivyo na tija kwenye maisha yako.
✔️✔️✔️Maisha ya kila mtu yamebeba machungu ambayo hatuwezi kuyajua na hatutamani kuyapitia. Furaha ya nje isikufanye utamani maisha ya mtu wakati hujui ndani anapitia nini.
MAISHAMaisha ya kila mtu yamebeba machungu ambayo hatuwezi kuyajua na hatutamani kuyapitia. Furaha ya nje isikufanye utamani maisha ya mtu wakati hujui ndani anapitia nini.
Najitahidi..Jitahidi Usiwe Kikwazo Kwa Kila Mtu Na Wasiweze Kukuongelea Juu Yako Kumbuka Maneno Yasio Mazurii Yana Kushusha Hadhi Yako
👍👍Kama moyo wako haubebi chuki, tayari wewe ni mtu wa thamani. Maisha ni mafupi sana kubeba kinyongo cha jana. Ukisafisha roho yako, hapo ndipo furaha ya kweli inapoanza. Epuka chuki na vinyongo visivyo na tija kwenye maisha yako.
✅️✅️✅️Maisha ya kila mtu yamebeba machungu ambayo hatuwezi kuyajua na hatutamani kuyapitia. Furaha ya nje isikufanye utamani maisha ya mtu wakati hujui ndani anapitia nini.
Nakubaliana na hiliMaisha ni mazuri kama ukifanya bidii ya kutafuta uzuri uliopo ndani yake .
SawasawaUkisubiri mambo ya dunia hii yakupe furaha utasubiri maisha yako yote na hutaona kitu.
SawaUkisubiri mambo ya dunia hii yakupe furaha utasubiri maisha yako yote na hutaona kitu.
Uhuru na furaha ni muhimu katika maisha yako, ikibidi kabisa ni bora kupoteza furaha ukabaki na uhuru wako. Ukipoteza uhuru umepoteza maisha."
Uhuru na furaha ni muhimu katika maisha yako, ikibidi kabisa ni bora kupoteza furaha ukabaki na uhuru wako. Ukipoteza uhuru umepoteza maisha."
✔️✔️✔️Hata isipodumu milele furaha yetu ni sehemu ya maisha yetu na mafanikio yetu
SawaMaisha ni mazuri kama ukifanya bidii ya kutafuta uzuri uliopo ndani yake .
SawasawaJitahidi uwe na furaha maisha ya hapa duniani.
SawasawaUkishajua kuwa maisha ni mseto wa nyakati fupifupi za shida na raha,hauwezi tolewa kwenye reli na ugumu unaopitia!
SawaFuraha ya maisha ni chemchemi ya ndani, haitegemei mvua ya nje. Ni hali ya moyo unaojua kucheza hata katikati ya vimbunga
📌📌Furaha ya maisha ni chemchemi ya ndani, haitegemei mvua ya nje. Ni hali ya moyo unaojua kucheza hata katikati ya vimbunga
Sawa hiliMtu mpweke ni rahisi kupata wivu juu ya wengine wenye kuonekana kufurahia maisha. Moja ya njia ya kupunguza upweke wake ni kwa kutibua furaha za wenzake."