myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaKila anapoinuka mjasiriamali mmoja, tunapiga hatua kwenye kupambana na umasikini; kila anapoanguka mjasiriamali mmoja, tunarudi nyuma hatua 100." ~Togolani Mavura.
SawasawaKila anapoinuka mjasiriamali mmoja, tunapiga hatua kwenye kupambana na umasikini; kila anapoanguka mjasiriamali mmoja, tunarudi nyuma hatua 100." ~Togolani Mavura.
MuhimuKila anapoinuka mjasiriamali mmoja, tunapiga hatua kwenye kupambana na umasikini; kila anapoanguka mjasiriamali mmoja, tunarudi nyuma hatua 100." ~Togolani Mavura.
📌📌Birika halimimini kisichokuwepo ndani yake. Usitegemee upendo, huruma na uelewa kutoka kwa mwenzako ikiwa nawe huwekezi kuujazia moyoni mwake."
Nakubaliana na hiliAdui wa kwanza wa maisha yako ni mdomo wako, jifunze kunyamanza. Dunia ya sasa haitaki watu waongeaji hata kama unaongea ukweli utaonekana adui. Jifunze kukaa kimya.
SahihiAdui wa kwanza wa maisha yako ni mdomo wako, jifunze kunyamanza. Dunia ya sasa haitaki watu waongeaji hata kama unaongea ukweli utaonekana adui. Jifunze kukaa kimya.
SahihiKatika maisha yako usisahu kumshukurukila alie kupa nafasi hata kama alikupa kwamasimango.
SawasawaBirika halimimini kisichokuwepo ndani yake. Usitegemee upendo, huruma na uelewa kutoka kwa mwenzako ikiwa nawe huwekezi kuujazia moyoni mwake
👍👍Katika maisha yako usisahu kumshukurukila alie kupa nafasi hata kama alikupa kwamasimango.
Hakuna ujinga mbaya kama ujinga wa halaiki. Ogopa sana wajinga katika umoja wao." ~Togolani Mavura.
Ukweli huuUkweli mchungu: Kuna watu hawajali ukiishi au ukifa, lakini wanakuangalia kila siku kwenye status zako. Dunia imejaa waigizaji wa uhalisia.
SawasawaUsiwahi kulipiza kisasi kwa mtu aliyekuumiza. Ukijua thamani yako, utanyamaza na kuendelea — kwa sababu karma inafanya kazi kimya kimya.
Maisha ni mazuri ukiwa na furaha, ila ni mazuri zaidi watu wengine wakiwa na furaha kupitia wewe
Ukweli unaoumiza: Ukifanikiwa, watu watasema ulipitia njia haramu. Ukishindwa, watasema ulikuwa mvivu. Jifunze kuishi bila kuomba ruhusa ya watu.
SawasawaUkweli unaoumiza: Ukifanikiwa, watu watasema ulipitia njia haramu. Ukishindwa, watasema ulikuwa mvivu. Jifunze kuishi bila kuomba ruhusa ya watu.
Sawa kabisaUkweli mchungu: Kuna watu hawajali ukiishi au ukifa, lakini wanakuangalia kila siku kwenye status zako. Dunia imejaa waigizaji wa uhalisia.
Ujumbe huu muhimu sanaHakuna aliye salama. Leo una kazi, kesho unafutwa. Leo una afya, kesho unaugua. Leo unacheka, kesho unalia. Maisha hayana mkataba wa kudumu
KweliHakuna aliye salama. Leo una kazi, kesho unafutwa. Leo una afya, kesho unaugua. Leo unacheka, kesho unalia. Maisha hayana mkataba wa kudumu
Aisee....Fisi ni myama aishiye mbugani, ambaye anasifa kemu kemu kwa wanadamu, pengine hii nikutokana na kutokeza katika simulizi nyingitulizokuwa tukijifunza katika hadithi, pinditulipokuwa shule ya msingi, ana umaarufu wajina la bwana afya wa porini, hii ni kutokana nasifa yake ya kula mizoga,
Sawasawa kabisa hiliPamoja na kwamba ni mnyama ambaye jina lake linakuzwa sana kwamba anatabia ya kula mizoga, lakini fisi ni mnyama anayewinda na hula nyama fresh, akikosa mawindo yake hufanya uporaji kwa wanyama kama simba na inapokosekana hata nafasi hiyo, basi akikutanana mfupa,mzoga yeye hana neno.
Sawasawa kabisa ✔️Mnyama huyu ni maarufu na pengine ndiyemnyama pekee mwenye kufahamika zaidikatika bara la Afrika, hususani hapa nyumbani,kwani mbali na kutokea katika hadithi, lakini piamnyama huyu baadhi ya makabila humtumiawanapocheza ngoma za asili, pia ana sifa yakuhusishwa sana na imani za kishirikina,baadhi ya jamii anapoonekana hupigwa mpakakufa kwa imani kwamba ni mtu amejibadilishakuwa fisi.