myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mafanikio hayaji kama ajali, Bali huja kwa kazi ngumu,Uvumilivu,Kujituma,Kujifunza,Kujitoa na zaidi ya yote Upendo kwa kile unachofanya au kujifunza kufanya
✅️✅️Ni wewe pekee unayeweza kubadili maisha yako, Hakuna mwingine anayeweza kukubadilishia....
KweliMoja ya sifa nzuri sana za urafiki wa kweli ni kuelewa na kueleweka.
SawasawaUsipende kusikiliza chochote unachoambiwa kuhusu mtu yoyote, hukumu kila mtu na kila kitu kwa jinsi unavyokiona wewe mwenyewe
SawaKwenye maisha lazima ukose na nafsi ikuume ujutie ndo utapata funzo la mafanikio yako moja kwa
Moja
📌📌📌Ukisubiri HESHIMA Muda Huu Utangoja Sana. Kikubwa Fanya Wajibu wako Tu Halafu Kaa Kimya
Ukisubiri HESHIMA Muda Huu Utangoja Sana. Kikubwa Fanya Wajibu wako Tu Halafu Kaa Kimya
Kumbuka
-Kusali kimya kimya
-Kula vyakula halisi
-Kufanya kazi kwa bidii
-Kulipia gharama za matumizi yako
-Kufunga mara kwa mara
-Kunywa maji yenye chumvi kidogo
-Lala usiku kila unapopata nafasi
NB: Jitokeze kwenye maisha yako.
Kumbuka
-Kusali kimya kimya
-Kula vyakula halisi
-Kufanya kazi kwa bidii
-Kulipia gharama za matumizi yako
-Kufunga mara kwa mara
-Kunywa maji yenye chumvi kidogo
-Lala usiku kila unapopata nafasi
NB: Jitokeze kwenye maisha yako.
Huwezi kuvuna usichopanda. Ni upuuzi kusubiri matokeo bila juhudi. Ni sawa na chizi kusubiri kuokotewa makopo
Kama utakaa na kutafakari utaamini maisha ya shule ndio maisha halisi tunaotakiwa kuishi kutokana na dunia ilivyo.
✔️✅️Maisha ya shule, yalituambia hata kama Jibu la mtihani lilikua B na ukaandika ukitoka nje ukikuta wana wanabishana changia ni C na wewe pia umeandika hivyo.
Maisha ya shule, yalituambia hata kama Jibu la mtihani lilikua B na ukaandika ukitoka nje ukikuta wana wanabishana changia ni C na wewe pia umeandika hivyo.
✔️✔️Maisha ya shule, yalituambia hata kama Jibu la mtihani lilikua B na ukaandika ukitoka nje ukikuta wana wanabishana changia ni C na wewe pia umeandika hivyo.