myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ishi na watu vizuri kwa upendo na ukarimu kama huwezi kuwafanya wawe na furaha basi usiwahuzunishe kama uwezi kuwasifu basi usiwatukane wala kuwadhalilisha na kama huwezi kuwalinda basi usiwadhuru
Ishi na watu vizuri kwa upendo na ukarimu kama huwezi kuwafanya wawe na furaha basi usiwahuzunishe kama uwezi kuwasifu basi usiwatukane wala kuwadhalilisha na kama huwezi kuwalinda basi usiwadhuru
β οΈβ οΈUsiichoshe nafsi Yako kwa yale yanayosemwa dhidi yako kwa kuwa Mungu anayajua yaliyo ndani ya moyo wako basi inatosha..
Kuna wakati inabidi tunyamaze hata kama tunajua.
Ukisifiwa na watu haimanishi kwamba wewe ni bora kushinda wengine wakati mwingine unaweza kujitasimini ni kipi kinakufanya uwe bora kushinda hao wengine pamoja na kuonekana bora pia usiache kukubali kukosolewa ili kuendelea kuwa bora zaidi...

Ukiwa na misimamo juu Ya kile unachokiamini katika maisha Yako basi utaonekana kiburi jeuri siku zote simamia kile unachokiamini katika maisha Yako
SawasawaUkiwa na misimamo juu Ya kile unachokiamini katika maisha Yako basi utaonekana kiburi jeuri siku zote simamia kile unachokiamini katika maisha Yako
β οΈβ οΈβ οΈKuna wakati inabidi tunyamaze hata kama tunajua.
Kuna kitu kilikua kinaumiza sana kwenye mtihani pale muda umekwisha unaambiwa na msimamizi wa mtihani au mwalimu pen down muda umekwisha aya wote simama so hata kwenye maisha kuna muda pia jiandae kwa kila aina Ya nyakati..
Jitahidi sana wakuelewe kabla wewe ujajieleza..
Tulishakubaliana na maamuzi Yao hatupo kwajiri Ya mashindano ni vema kuwa sehemu Yenye furaha na amani wakti mwingine usifosi move on maisha mengine Yaendelee.
Tulishakubaliana na maamuzi Yao hatupo kwajiri Ya mashindano ni vema kuwa sehemu Yenye furaha na amani wakti mwingine usifosi move on maisha mengine Yaendelee.