Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza kuwa msafi pasi hata kuwachafua wengine,Sio lazima tupigane short na kutengenezeana ajali ambazo hazina maana yeyote ile, kwa sababu leo kwangu kesho kwako, na hayo ndio yetu maisha
 
Jaribu kufungulia dunia watu wengine ili kwenye stori zao za kufanikiwa wewe utajwe kama shujaa wao, ila ogopa sana kwenye stori za watu kufanikiwa wewe ukawa mfano mbaya.
 
Maisha yana changamoto zake,wakati mwingine mambo hayaendi kama ulivyopanga milango inafungwa, na matumaini yanatetereka. Lakini hiyo haimaanishi mwisho wa safari. Kila mlango unaofungwa ni nafasi ya kusubiri mlango bora zaidi ufunguliwe. Mungu hakuachi bila njia, VUMILIA tu…!!!
 
Siku mpya imezaliwa, nafasi mpya imetufikia. Usikubali iishe bila kutabasamu, kupigania ndoto zako, na kushukuru kwa ulichonacho. Kumbuka: Mafanikio yanaanza na hatua ndogo unazochukua leo. Amka, chakarika, na uing'arishie dunia yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…