myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kuna kitu ndani yako ambacho dunia haijakiona bado"NGUVU YA NDANI."Ni nguvu ya kuinuka bila kutegemea makofi ya wengine.Ni moto wa ndani unaosema, 'Siishii hapa
WAKATI Umefika Wa kuamua kesho Yako simama na sema Kwa ujasiri "NINA NGUVU YA NDANI"
Nguvu ya ndaniWAKATI Umefika Wa kuamua kesho Yako simama na sema Kwa ujasiri "NINA NGUVU YA NDANI"
UjumbeWAKATI Umefika Wa kuamua kesho Yako simama na sema Kwa ujasiri "NINA NGUVU YA NDANI"
Muda wote ambao tunatamani kupata tunavyovihitaji basi kuna wakati vinakuja ambavyo hatujavihitaji wakati huo, lakini isikufanye ukavunjika moyo kwa kuona kile unachotaka hakitokei wakati huo, amini Mungu tu kwamba unachokitaka nacho kitakuja kwa wakati wake.

Pia muhimuMuda wote ambao tunatamani kupata tunavyovihitaji basi kuna wakati vinakuja ambavyo hatujavihitaji wakati huo, lakini isikufanye ukavunjika moyo kwa kuona kile unachotaka hakitokei wakati huo, amini Mungu tu kwamba unachokitaka nacho kitakuja kwa wakati wake.
SawaTumia rasilimali zako kwa busara, kwani kila hatua unayochukua leo inaweza kuunda mustakabali mzuri wa kesho yako.