myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ongea na Mungu kwenye kila gumu unalopitia, zipo nyakati za furaha na wewe utacheka.
SawasawaMungu humuinua yeyote, wakati wowote. Usimdharau mtu.” - Mark Batterson
Mungu humuinua yeyote, wakati wowote. Usimdharau mtu.” - Mark Batterson
Kweli kabisa hiliJe Wajua, Kunguru wanaweza kukumbuka sura ya mtu aliyewatisha au kuwadhuru hata baada ya miaka mingi. Ukiwakosea leo, kesho au siku nyingine utashangaa wanakusanya mtaa mzima kukuangalia kwa jicho la ajabu endapo watakuona tena.
Hili ni sahihiJe Wajua, Kunguru wanaweza kukumbuka sura ya mtu aliyewatisha au kuwadhuru hata baada ya miaka mingi. Ukiwakosea leo, kesho au siku nyingine utashangaa wanakusanya mtaa mzima kukuangalia kwa jicho la ajabu endapo watakuona tena.
NakubalianaPunguza matarajio makubwa utajaza hofu isiyo na ulazima.
Pia Nakubaliana na wewePunguza matarajio makubwa utajaza hofu isiyo na ulazima.
Aisee...Je Wajua, Muigizaji Jack Nicholson aligundua akiwa na umri wa miaka 37 kwamba yule aliyemchukulia kama dada yake kwa miaka yote ni mama yake, na “mama” aliyemlea ni bibi yake.Filamu ya maisha halisi hii.
✅️✅️Je Wajua, Muigizaji Jack Nicholson aligundua akiwa na umri wa miaka 37 kwamba yule aliyemchukulia kama dada yake kwa miaka yote ni mama yake, na “mama” aliyemlea ni bibi yake.Filamu ya maisha halisi hii.
👍👍👍Je wajua?Kuna Jamii Ndege anayeitwa “kaka wa asali” huko Msumbili hushirikiana na Makabila ya Wawindaji kuwaonyesha mizinga ya asali porini kwa malipo ya mgao kidogo, lakini atakasirika ukimdhulumu, ataanza kukuongoza kwenda kwenye nyuki wenye hasira
✔️✔️✔️Je wajua?Kuna Jamii Ndege anayeitwa “kaka wa asali” huko Msumbili hushirikiana na Makabila ya Wawindaji kuwaonyesha mizinga ya asali porini kwa malipo ya mgao kidogo, lakini atakasirika ukimdhulumu, ataanza kukuongoza kwenda kwenye nyuki wenye hasira
📌📌📌Je wajua?Kuna Jamii Ndege anayeitwa “kaka wa asali” huko Msumbili hushirikiana na Makabila ya Wawindaji kuwaonyesha mizinga ya asali porini kwa malipo ya mgao kidogo, lakini atakasirika ukimdhulumu, ataanza kukuongoza kwenda kwenye nyuki wenye hasira
SawaJe Wajua, Kunguru wanaweza kukumbuka sura ya mtu aliyewatisha au kuwadhuru hata baada ya miaka mingi. Ukiwakosea leo, kesho au siku nyingine utashangaa wanakusanya mtaa mzima kukuangalia kwa jicho la ajabu endapo watakuona tena.
✅️✅️Tafuta wa kuzungumza nae maumivu huathiri akili.
Usijilinganishe na wengine jipe nafasi ya kukua kwa njia yako
✔️✔️✔️Jipende hakuna atakayekuja kukupa raha
📌📌📌Uongo huja kwa njia nyingi jiepushe nao hautakusaidia
KweliHujafika hapa kwa bahati tu una sababu ya kuwa hai
✅️✅️Hatuwezi Kurudisha Muda Nyuma Na Hatuwezi Kubadili Yaliyopita, Lakini Matendo Yetu Ya Leo Yanaweza Kuamua Kile Ambacho Kesho Yetu Itakibeba”…..