myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍Hatuwezi Kurudisha Muda Nyuma Na Hatuwezi Kubadili Yaliyopita, Lakini Matendo Yetu Ya Leo Yanaweza Kuamua Kile Ambacho Kesho Yetu Itakibeba”…..
tatizo si kuwa na elimu tatizo ni kuigeuza hiyo elimu uliyonayo kuwa fedha hapo ni pagumu sana wanangu aise, vyeti havinunui chakula”
UDUGU NI KAMA MSITU,
Ukiangalia kwa Mbaalii Unahisi Miti yote iko Pamoja - lakini Ukisogea kwa Karibu, Ndipo Unagundua kila Mti uko Ki'vyake”….!!!! Kwahiyo ishini vizuri na ndugu zenu….!!
UDUGU NI KAMA MSITU,
Ukiangalia kwa Mbaalii Unahisi Miti yote iko Pamoja - lakini Ukisogea kwa Karibu, Ndipo Unagundua kila Mti uko Ki'vyake”….!!!! Kwahiyo ishini vizuri na ndugu zenu….!!
Sawa kabisaUDUGU NI KAMA MSITU,
Ukiangalia kwa Mbaalii Unahisi Miti yote iko Pamoja - lakini Ukisogea kwa Karibu, Ndipo Unagundua kila Mti uko Ki'vyake”….!!!! Kwahiyo ishini vizuri na ndugu zenu….!!
AiseeUDUGU NI KAMA MSITU,
Ukiangalia kwa Mbaalii Unahisi Miti yote iko Pamoja - lakini Ukisogea kwa Karibu, Ndipo Unagundua kila Mti uko Ki'vyake”….!!!! Kwahiyo ishini vizuri na ndugu zenu….!!
AiseeKuna wakat mambo hayaendi kama ulivyopanga. Milango inafungwa, ndoto zinachelewa, na matumaini yanatetereka. Lakini hiyo haimaanishi mwisho wa safari. Kila mlango unaofungwa ni nafasi ya kujifunza, kukua, na kusubiri mlango bora zaidi. Mungu hakuachi bila njia. Jipe moyo, vumilia
✔️✔️✔️Maisha ni Kama Chumba Cha Mtihani, kwahiyo Usitishwe na Anayetoka Kabla Yako, Fanya Kwa Wakati Wako nawe utatoka tu, wakati wa mungu ni wakati sahihi sana”…
📌📌Maisha ni Kama Chumba Cha Mtihani, kwahiyo Usitishwe na Anayetoka Kabla Yako, Fanya Kwa Wakati Wako nawe utatoka tu, wakati wa mungu ni wakati sahihi sana”…
✅️✅️✅️Kwenye maisha yenu jifunzeni kuweka mipaka, kisha muwe tayari kumpoteza kila rafiki atakayevuka mipaka yenu, basi hapo huenda mkafanikiwa maishani"
AiseeKuna wakat mambo hayaendi kama ulivyopanga. Milango inafungwa, ndoto zinachelewa, na matumaini yanatetereka. Lakini hiyo haimaanishi mwisho wa safari. Kila mlango unaofungwa ni nafasi ya kujifunza, kukua, na kusubiri mlango bora zaidi. Mungu hakuachi bila njia. Jipe moyo, vumilia
SawaKwenye maisha yenu jifunzeni kuweka mipaka, kisha muwe tayari kumpoteza kila rafiki atakayevuka mipaka yenu, basi hapo huenda mkafanikiwa maishani"
Sawa kabisaKwenye maisha yenu jifunzeni kuweka mipaka, kisha muwe tayari kumpoteza kila rafiki atakayevuka mipaka yenu, basi hapo huenda mkafanikiwa maishani"
Maisha ni Kama Chumba Cha Mtihani, kwahiyo Usitishwe na Anayetoka Kabla Yako, Fanya Kwa Wakati Wako nawe utatoka tu, wakati wa mungu ni wakati sahihi sana”…
Kila hali unayoipitia katika maisha yako kwa sasa ni ya muda tu. Kama unapitia maisha mazuri, hakikisha unayafurahia na kuyapokea kikamilifu. Na kama unapitia wakati ambao maisha sio mazuri. Kumbuka kwamba haitadumu milele na siku bora ziko njiani.

Kimiminika chenye gharama kubwa zaidi duniani ni machozi. Kwasababu asilimia 1% tu ndo maji na asilimia 99% ni hisia. Kwahiyo fikiria kwanza kabla ya kumuumiza mtu na akatokwa na machozi, kwasababu utakuwa unaumiza hisia zake
Ukipata nafasi ya kuyahadithia matendo ya watu, jitahidi sanaaaa uyahadithie yale mema yao, Huenda kesho na wao wakapewa nafasi pia, ya kuyahadithia matendo yako”..
✅️✅️✅️Uaminifu ni kama glass ya maji, ikivunjika haiwezi kurudi tena kama zamani, kwahiyo tuwe makini ili tusipoteze uaminifu wetu kwa wanaotuamini”….!!!!!