Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Fikra zako ni sumaku ya maisha yako
Watu wengi wanakimbiza pesa lakini hawajui pesa huwa haikimbii, inavutwa.
Na kitu kinachovutia pesa siyo jasho, siyo kuamka mapema tu ni mtazamo sahihi wa kifedha.
Ukifikiri kwa usahihi, utajiri hukufuata
Badili mtazamo wako.