Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Umasikini ni nini..
•Kushindana na mtu mwenye matokeo unayoyataka
•Kuishi maisha ya kujilinganisha na watu
•Kushindwa kujua unataka nini kwenye maisha yako (kukosa vipaumbele)
•Kuhairisha mambo uliyoyapanga kuyafanya
•Kushindwa kujiheshimu.
EPUKA.