Hatma ya maisha yako haipo mikononi mwa watu, historia au bahati ipo mikononi mwako mwenyewe, kupitia…
-Mawazo unayoruhusu kichwani mwako
-Imani unazojenga au kuamini
-Maamuzi unayochukua kila siku
-Mtazamo wako kwa matatizo, vikwazo, na fursa
Master your FATE.