Mambo unayotaka kuyafanya either kwa siku, week au mwezi
Malengo unayoyataka kuyafikia mwaka 1-5
Hakikisha umeyaandika kwenye karatasi na unayasoma kila siku, yasiwe kichwani tu
Ukifanya hivyo unaipa akili yako GPS na njia ya kuyafikia easy
Hakikisha UMEYAANDIKA.