myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππNidhamu siyo mateso ni heshima ya ndani yako.
Ni kujiheshimu na kufanya kile kinachopaswa kufanyika.
Kila mara unapoacha kufanya mambo uliyopanga ni kujiambia kuwa malengo yako hayana maana.
Watu waliofanikiwa hawategemei motisha,
wanategemea nidhamu.
Build discipline.
βοΈβοΈMafanikio yoyote huvutiwa na tabia na thamani ya mtu unayojijenga kuwa.
ππMafanikio yoyote huvutiwa na tabia na thamani ya mtu unayojijenga kuwa.
Kama vile sumaku inavyovuta chuma, mafanikio huvutiwa na watu walio tayari kiakili, kihisia, kimaadili, na kitabia.
Kupata PESA ni mchezo wa kutumia akili vyema
Mafanikio yako yanapimwa na yale mambo unayofanya kila siku.
Mafanikio yako yanapimwa na yale mambo unayofanya kila siku.
Historia yako ya kufanikiwa kifedha, inaanza na maamuzi unayofanya leo.
Historia yako ya kufanikiwa kifedha, inaanza na maamuzi unayofanya leo.
Nguvu ya kweli ni kuimudu akili yako, uwezo wa kujizuia, kuwa mtulivu kwenye changamoto na kutoyumbishwa nazo.
Kuwa tayari kufanya usichopenda ili ufike kwenye unachotaka.
Kuwa tayari kufanya usichopenda ili ufike kwenye unachotaka.
ππKuwa tayari kufanya usichopenda ili ufike kwenye unachotaka.
Mafanikio hujificha katika unyenyekevu wa mwanzo mdogo.
Nidhamu binafsi itakuinua kiuchumi.
Dunia huwapendelea wanaojua wanachotaka.Hakikisha unajua UNACHOTAKA
SawasawaAkili inayodhibitiwa huleta maisha yanayodhibitika.