Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✅️✅️✅️
Kuna mtu

-Hajui anatumia kiasi gani kwa siku

-Hajui bajeti yake kwa mwezi ni kiasi gani

-Hana vipaumbele kwenye pesa zake

-Hajui kutofautisha matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima

-Hajawahi ata kujilipa walau 5% kwenye mapato yake

Kama ni wewe, pesa zako ZINAKUENDESHA.
 
✔️✔️

👍👍
Mafanikio huwapata wale wanaoishi kwa kufikiri kama washindi walioujenga utambuzi wa ndani kuwa wao ni mafanikio kabla hata hawajayaona kwa nje.

Unawaza nini kila siku

Unafanya nini kila siku

Unajiona wapi miaka mitano mbele

Chochote unachotaka kinaanza kichwani kwanza.
 
Kuna mtu

-Hajui anatumia kiasi gani kwa siku

-Hajui bajeti yake kwa mwezi ni kiasi gani

-Hana vipaumbele kwenye pesa zake

-Hajui kutofautisha matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima

-Hajawahi ata kujilipa walau 5% kwenye mapato yake

Kama ni wewe, pesa zako ZINAKUENDESHA.
📌📌
 
Hatma ya maisha yako haipo mikononi mwa watu, historia au bahati ipo mikononi mwako mwenyewe, kupitia…

-Mawazo unayoruhusu kichwani mwako

-Imani unazojenga au kuamini

-Maamuzi unayochukua kila siku

-Mtazamo wako kwa matatizo, vikwazo, na fursa

Master your FATE.
📌📌📌
 
Nakubaliana
Kuna mtu

-Hajui anatumia kiasi gani kwa siku

-Hajui bajeti yake kwa mwezi ni kiasi gani

-Hana vipaumbele kwenye pesa zake

-Hajui kutofautisha matumizi ya lazima na yasiyo ya lazima

-Hajawahi ata kujilipa walau 5% kwenye mapato yake

Kama ni wewe, pesa zako ZINAKUENDESHA.
 
✅️✅️
Ukitaka kupata kitu unachokipenda kuwa tayari kufanya kitu usichokipenda

Yani ule mchakato wa kufanya ili uyafike hayo unayoyataka huwa sio rahisi, kuna gharama na maumivu lazima uyapitie.

Na kadri unavyoyakwepa kuyafanya ndivyo unavyochelewa kuyafikia.

Lazima ULIPE GHARAMA.
 
Mambo unayotaka kuyafanya either kwa siku, week au mwezi

Malengo unayoyataka kuyafikia mwaka 1-5

Hakikisha umeyaandika kwenye karatasi na unayasoma kila siku, yasiwe kichwani tu

Ukifanya hivyo unaipa akili yako GPS na njia ya kuyafikia easy

Hakikisha UMEYAANDIKA.
✔️✔️
 
Nidhamu siyo mateso ni heshima ya ndani yako.

Ni kujiheshimu na kufanya kile kinachopaswa kufanyika.

Kila mara unapoacha kufanya mambo uliyopanga ni kujiambia kuwa malengo yako hayana maana.

Watu waliofanikiwa hawategemei motisha,
wanategemea nidhamu.

Build discipline.

Back
Top Bottom