Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafanikio huwapata wale wanaoishi kwa kufikiri kama washindi walioujenga utambuzi wa ndani kuwa wao ni mafanikio kabla hata hawajayaona kwa nje.

Unawaza nini kila siku

Unafanya nini kila siku

Unajiona wapi miaka mitano mbele

Chochote unachotaka kinaanza kichwani kwanza.
Sawasawa
 
✅️✅️✅️
Fikra zako ni sumaku ya maisha yako

Watu wengi wanakimbiza pesa lakini hawajui pesa huwa haikimbii, inavutwa.

Na kitu kinachovutia pesa siyo jasho, siyo kuamka mapema tu ni mtazamo sahihi wa kifedha.

Ukifikiri kwa usahihi, utajiri hukufuata

Badili mtazamo wako.
 
📌📌

Back
Top Bottom