Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwenye hili tuko soteTangazo tayari kuwa saa sita napaki mbele ili nilale
Kwenye hili tuko soteTangazo tayari kuwa saa sita napaki mbele ili nilale
Faraja darajaMkuu humu ni furaha tu,tukitoka huko tunako kwazwa kila siku,tuna kimbilia humu angalau kujiliwaza,ukikutana na mwingine anakuharibia hauna haja ya kulipiza,unaenda nae anavyotaka lakini kwa kumpa analo stahili.Muhimu tunao endana tumekuwa pamoja,jambo la kumshukuru Mungu.
On your marksKwani Mh. Ghazwat ungekaa chini na kuliheshimu bunge ungepungukiwa na nini. Tena inasemekana ulimwita Mh. Spika kwa kutumia neno baya. Eti ulisema yeye ni fala tu. Ni kweli Mh. Ghazwat ulitumia neno hilo la dharau na lisilo na maadili?
Data kanzuBiostatistics
Simu chali kifo cha mende miguu juu kichwa kwapaniLaleni unono wakuu