Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

chochote unachopitia maishani wewe Omba,unapofikiria umemaliza,omba Tena,wakati ulimwengu umelala ,wewe omba.Kumbuka SALA si tu inabadilish Mambo Bali inabadilish na mioyo ya watu ambapo inaweza kubadilisha na Hali yako. Basi ndugu yangu wewe OMBA Kisha jiandae.
Sawasawa pia
 
Nenda Kwa MWENDO WAKO, Mafanikio Sio MASHINDANO. Kila Mmoja ATAFANIKIWA Kwa MUDA WAKE.!"
 
Back
Top Bottom