myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaFahamu kuwa Kila mtu hawezi kukupenda, usipoteze amani yako juu ya wale wanaokuchukia. Wale waliowashawishi Watu wakuchukie, hawawezi kumshawishi Mungu akuchukie"
SawasawaFahamu kuwa Kila mtu hawezi kukupenda, usipoteze amani yako juu ya wale wanaokuchukia. Wale waliowashawishi Watu wakuchukie, hawawezi kumshawishi Mungu akuchukie"
✅️✅️Ulimi safi ni mti wa Uzima; Bali ukorofi wa Ulimi huvunja moyo"
Mithali 15:4
AiseeMaisha ni kejeli sana, lazima upitie huzuni ili kujua furaha, upitie kelele ili kuthamini Ukimya na kutokuwepo ili kuthamini Uwepo"
NAKUBALIANA NA WEWESamaki anahitaji maji ili kuishi ila maji bila samaki yanabaki kuwa maji, mmea unahitaji ardhi ili kustawi ila ardhi haiitaji mmea Ili kuwa ardhi. Binadamu anamuhitaji Mungu Ili kustawi, ila Mungu haitaji mwadamu Ili kuwepo maana alikuwepo tu. Be humble na majibu ya Mungu"
HILI SAWA KABISASamaki anahitaji maji ili kuishi ila maji bila samaki yanabaki kuwa maji, mmea unahitaji ardhi ili kustawi ila ardhi haiitaji mmea Ili kuwa ardhi. Binadamu anamuhitaji Mungu Ili kustawi, ila Mungu haitaji mwadamu Ili kuwepo maana alikuwepo tu. Be humble na majibu ya Mungu"
SawasawaKuna muda tulikula Ugali na chumvi,tulikula Ugali Dagaa na hata ugali nyama. Ndio uhalisia wa maisha yetu, kamwe nyakati haziwezi kufanana. Kubali Hali Kwa kujibidiisha na usonge mbele
Kweli kabisa hiliKuna muda tulikula Ugali na chumvi,tulikula Ugali Dagaa na hata ugali nyama. Ndio uhalisia wa maisha yetu, kamwe nyakati haziwezi kufanana. Kubali Hali Kwa kujibidiisha na usonge mbele
✔️✔️Nyakati zetu tulienda kuchanja Kuni sehemu ambazo hatuna uhakika kama tutapata, tena yalikuwa ni maeneo hatarishi na hatuna ndala miguuni. Haijalishi utarudi saa ngapi lakini Kuni utazipata na utapongezwa Kwa kazi nzuri. Kesho yetu ni fumbo lakini jitahidi ikukute unapambana
Jili pia ni muhimuKabla hujamuhukumu mtu kuhusu maisha au tabia yake ya zamani, ebu tembea katika njia aliyopitia na anayopitia sasa, ishi huzuni yake, kicheko chake, mashaka yake na hofu yake. Pale utakapoishi haya yote unaweza kumuhukumu kwa haki"
📌📌Nyakati zetu tulienda kuchanja Kuni sehemu ambazo hatuna uhakika kama tutapata, tena yalikuwa ni maeneo hatarishi na hatuna ndala miguuni. Haijalishi utarudi saa ngapi lakini Kuni utazipata na utapongezwa Kwa kazi nzuri. Kesho yetu ni fumbo lakini jitahidi ikukute unapambana
SawasawaHakuna mtu aliyekamilika. Watu huvumiliana mapungufu kwasababu upo upendo katikati yao(wanapendana). Ni ngumu kumvulia mtu ambaye anatamani usiwepo katika maisha yake. Moyo wako unajua njia, usikilize
SawasawaKila unapolala na kuamka usisahau kuwaombea wale waliokuinua. Walitamani wale walichokupa wewe, ila upendo wao uliwafanya waone unastahili wewe kuliko wao wenyewe. Tendo hili ni Kalvari halisi, ni Upelkane wa aina yake".
Kila unapolala na kuamka usisahau kuwaombea wale waliokuinua. Walitamani wale walichokupa wewe, ila upendo wao uliwafanya waone unastahili wewe kuliko wao wenyewe. Tendo hili ni Kalvari halisi, ni Upelkane wa aina yake".
SawasawaKuwa mwangalifu na kile unachopuuza, wakati mwingine kile unachopuuza ndicho unachohitaji zaidi"
SawasawaTafsiri yako ndio uhalisia wa kile unachoamini, haijalishi wengine watakuwa na mtazamo gani juu ya jambo lako. Petro alivyoomba asulubishwe kichwa chini miguu juu, kuna wengine walidhani anampinga Bwana wake. Kibaya chao ni kizuri kwako
SAWASAWAMiaka mingi tumekuwa na afya tele kiasi kwamba tunaona ni haki yetu kuwa hivyo, lakini tukiwatembelea wagonjwa tutagundua kwamba hatustahili kabisa. Tuache kiburi cha uzima na tutenge muda kumshukuru Mungu"
Sahihi kabisaMama akiwa anajifungua hupata uchungu mkubwa, lakini mtoto akishazaliwa furaha hufuta maumivu yote. Huzuni unayosikia kwa jambo unaloombea, Mungu akijibu utasahau huzuni yote. Kuwa na subra
Ujumbe muhimuUsijali juu ya chochote, badala yake omba juu ya kila kitu. Mwambie Mungu kile unachohitaji na kumshukuru kwa yote ambayo amefanya
UJUMBE HUU MUHIMUUsisahau ulipo toka si tu ulipozaliwa bali hata katika matendo yako. Tunapokuwa na kuyaona ya Dunia hayafai tena isipokuwa Mungu, tumekuwa watu wa kuwabeza wale wanaotenda yale tuliyotenda tukiwa katika umri wao"