Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna Muda FURAHA Huja Na Kupotea Ingawa HAIDUMU. Ila Inatupa Maana Halisi Yakuishi Kwetu.!"
AiseeCha kusikitisha ni kwamba njia pekee ya watu wengine kujifunza kukuthamini ni kukupoteza"
SawaHELA Humaliza SHIDA Ila Shida Umaliza HELA Zaidi.!"
AiseeWakati mwingine maumivu ya kudharauliwa na watu tunao wahitaji na kuwapenda yanatupa funzo ya kuwapenda wale wanao tuhitaji na kutupenda zaidi"
📌📌Wakati mwingine maumivu ya kudharauliwa na watu tunao wahitaji na kuwapenda yanatupa funzo ya kuwapenda wale wanao tuhitaji na kutupenda zaidi"
KweliWakati mwingine maumivu ya kudharauliwa na watu tunao wahitaji na kuwapenda yanatupa funzo ya kuwapenda wale wanao tuhitaji na kutupenda zaidi"
👍👍Wakati mwingine maumivu ya kudharauliwa na watu tunao wahitaji na kuwapenda yanatupa funzo ya kuwapenda wale wanao tuhitaji na kutupenda zaidi"