myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asubuhi njema wadau wa sokoni dukani gengeni saluni na hotelini
✔️✔️Unapokuwa na Moyo mzuri na Nia safi, haumpotezi mtu yeyote Bali anakupoteza wewe"
Ukweli huuWakati huwezi kudhibiti kinachotokea basi jipe changamoto kudhibiti jinsi unavyoitikia kinachoendelea. Hapo ndipo nguvu yako ilipo"
Uhuru na Utumwa ni ncha mbili za upanga mmoja. Nafsi yako inajua njia, isikilize mwongozo wake!
SawasawaUnapokuwa na Moyo mzuri na Nia safi, haumpotezi mtu yeyote Bali anakupoteza wewe"
Uhuru na Utumwa ni ncha mbili za upanga mmoja. Nafsi yako inajua njia, isikilize mwongozo wake!
Amani ni matokeo ya kurejesha akili yako kuchakata maisha jinsi yalivyo, badala ya vile unavyofikiri yanapaswa kuwa"

Daima kuwa na wasiwasi kuhusu tabia yako na si sifa yako, kwasababu Tabia yako ni jinsi ulivyo na sifa yako ni vile tu watu wanavyokufikiria wewe"
Kamwe usiulize Rafiki yangu wa kweli ni nani. Bali uliza Je, Mimi ni rafiki wa kweli wa mtu Gani? Hilo ndilo swali sahihi. Daima jitilie mashaka wewe mwenyewe"
Unaweza kukutana na mtu kesho ambaye ana nia nzuri kwako, kuliko mtu ambaye umemjua milele. Muda haumaanishi chochote Bali Tabia"

Kama wewe unahisi ni mtu mbaya, kumbuka watu wabaya hawana wasiwasi kuhusu hilo
Kama wewe unahisi ni mtu mbaya, kumbuka watu wabaya hawana wasiwasi kuhusu hilo
Kama wewe unahisi ni mtu mbaya, kumbuka watu wabaya hawana wasiwasi kuhusu hilo
Kamwe usiulize Rafiki yangu wa kweli ni nani. Bali uliza Je, Mimi ni rafiki wa kweli wa mtu Gani? Hilo ndilo swali sahihi. Daima jitilie mashaka wewe mwenyewe"
Kweli kabisaMtu mwenye busara aliulizwa...Hasira ni nini?... Alitoa jibu zuri na kusema... "Ni adhabu unayojipa mwenyewe Kwa makosa ya mtu mwingine"