myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌
Wewe ndio asset kubwa kuliko chochote unachotaka
Invest kwa akili yako kabla ya pesa.
Maarifa uliyonao leo ndiyo yataamua kiwango cha kipato chako kesho.
Kumbuka hili MAFANIKIO uliyonayo hayawezi kushinda akili yako.
MAARIFA ni uwekezaji mkubwa zaidi.
Invest in yourself.