Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mindsets is everything Haijalishi unaishi wapi au wewe ni nani

Ukiwa na poor mindset huwezi kufikia 1% ya watu bora bali utakua 99% ya watu wa kawaida

Unatakiwa kufanya vitu vya utofauti na kufanya kwa ubora wa hali ya juu

Akili yako ndo kila kitu

Ukiyumba mindset UMEKWISHA
👍👍👍
 
Ujanja halisi ni kutafuta pesa,kuwa na pesa kuzitumia kwa hekima na nidhamu ya hali ya juu ili zisiishe na ule ujanja wa kufanya mambo yanayoutweza utu wako yaani kuiga visivyoigwa ni ujanja wa kishamba.
 
Back
Top Bottom