myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wewe ndio asset kubwa kuliko chochote unachotaka
Invest kwa akili yako kabla ya pesa.
Maarifa uliyonao leo ndiyo yataamua kiwango cha kipato chako kesho.
Kumbuka hili MAFANIKIO uliyonayo hayawezi kushinda akili yako.
MAARIFA ni uwekezaji mkubwa zaidi.
Invest in yourself.

Kweli kabisa hiliHakuna anayefanikiwa ghafla, na hakuna anayeshindwa ghafla.
Mafanikio yanatokana na jumla ya juhudi ndogo ndogo zinazorudiwa kila siku.
Utajuaje unapiga hatua� Track your progress.
Mambo uliyo-plan kuyafanya kabla siku kuisha, jiulize umeyatimiza.?
Thatβs is PROGRESS
Usiishi maisha kwa kutaka kumpendeza kila mtu
Jenga maisha yatakayokuvutia hata ukiwa peke yako.
Self care and self love is POWER.
Usiishi maisha kwa kutaka kumpendeza kila mtu
Jenga maisha yatakayokuvutia hata ukiwa peke yako.
Self care and self love is POWER.
πππUsiishi maisha kwa kutaka kumpendeza kila mtu
Jenga maisha yatakayokuvutia hata ukiwa peke yako.
Self care and self love is POWER.
Kujikubali kunaanzia ndani
Kama UJIAMINI hakuna hatakaekuamini
ila UKIJIKUBALI, dunia nayo itaanza kukubali
Ukishindwa kujijenga ndani ni ngumu sana kuwa IMARA.
Rise your standards.
Pesa ni mtumwa mzuri, lakini pesa hiyo ni bosi mbaya
Ukiituma pesa yako itakutii na kukuletea pesa nyingine.
Ukiifanya pesa kuwa bosi itakutesa na itakumikisha vibaya
Usitumie pesa ili ujisikie vizuri.
Tumia pesa ili uwe huru badae.
PESA ni chombo na sio utajiri utajiri wa kweli ni kuwa huru
-Kuwa na uwezo wa kusema hapana
-Kuwa na uwezo wa kufanya mambo unayoyapenda
-Kuwa na mali zinazokuingizia pesa wakati umelala
tafuta UHURU.

πππWekeza katika afya yako kwa kula chakula bora.
Tafuta maarifa na jenga skills
Jiwekee malengo na mipango ya maendeleo
Wekeza katika maadili ya tabia njema
Anza kuishi kwa matumizi ya chini ya kipato chako. Jifunze kuweka akiba mapema, hata kama ni kidogo.
Wekeza kwenye maarifa, jifunze kuhusu fedha, uwekezaji, na biashara.
Epuka madeni yasiyo ya lazima, hasa ya anasa.
AiseeAnza kuishi kwa matumizi ya chini ya kipato chako. Jifunze kuweka akiba mapema, hata kama ni kidogo.
Wekeza kwenye maarifa, jifunze kuhusu fedha, uwekezaji, na biashara.
Epuka madeni yasiyo ya lazima, hasa ya anasa.
Pesa ni mtumwa mzuri, lakini pesa hiyo ni bosi mbaya
Ukiituma pesa yako itakutii na kukuletea pesa nyingine.
Ukiifanya pesa kuwa bosi itakutesa na itakumikisha vibaya
Huwezi kuwa tajiri kama hujifunzi kuwekeza walau 5% ya mapato yak
Huwezi kuwa tajiri kama hujifunzi kuwekeza walau 5% ya mapato yako
βοΈβοΈβοΈHalafu tafuta njia ya kuwapangia kazi mpya zenye tija.
Ukishindwa kuipa maelekezo pesa yako, itapotea bila habari
Kila shilingi unayopata ni askari wako.
Itumie vitani kukuletea uhuru, sio ufahari
Andika ni wapi askari zako (pesa zako) wamekuwa wakipotelea bila mafanikio..?
ππHalafu tafuta njia ya kuwapangia kazi mpya zenye tija.
Ukishindwa kuipa maelekezo pesa yako, itapotea bila habari
UJUMBE HUU MUHIMUKila shilingi unayopata ni askari wako.
Itumie vitani kukuletea uhuru, sio ufahari
Andika ni wapi askari zako (pesa zako) wamekuwa wakipotelea bila mafanikio..?