myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️✅️Kila shilingi unayopata ni askari wako.
Itumie vitani kukuletea uhuru, sio ufahari
Andika ni wapi askari zako (pesa zako) wamekuwa wakipotelea bila mafanikio..?
Kila shilingi unayopata ni askari wako.
Itumie vitani kukuletea uhuru, sio ufahari
Andika ni wapi askari zako (pesa zako) wamekuwa wakipotelea bila mafanikio..?
Huwezi kuwa mtu wa nidhamu kama hujifunzi kujizuia kwa vishawishi vidogo
SAWASAWAUmasikini ni hali ya mfuko. Lakini umasikini wa fikra (fixed mindset) ni gereza la maisha.— Anon
SAHIHI KABISAUmasikini ni hali ya mfuko. Lakini umasikini wa fikra (fixed mindset) ni gereza la maisha.— Anon
👍👍👍Kama huwezi kufata ratiba yako ya siku uliyoipanga, sahau kuyafikia mafanikio yako
Maana mafanikio unayoyataka yapo kwenye ratiba yako ya kila siku
Kwa lugha rahisi unakuwa kile unafanya.
Maisha ya kila siku ni vita, lakini vita ya kweli ni ile ya kujiamini na kushinda hofu ndani yako.Changamoto si adui, bali mshirika muhimu wa mafanikio yako.
SawasawaMaisha ya kila siku ni vita, lakini vita ya kweli ni ile ya kujiamini na kushinda hofu ndani yako.Changamoto si adui, bali mshirika muhimu wa mafanikio yako.
Kama huwezi kufata ratiba yako ya siku uliyoipanga, sahau kuyafikia mafanikio yako
Maana mafanikio unayoyataka yapo kwenye ratiba yako ya kila siku
Kwa lugha rahisi unakuwa kile unafanya.
✔️✔️Mindsets is everything Haijalishi unaishi wapi au wewe ni nani
Ukiwa na poor mindset huwezi kufikia 1% ya watu bora bali utakua 99% ya watu wa kawaida
Unatakiwa kufanya vitu vya utofauti na kufanya kwa ubora wa hali ya juu
Akili yako ndo kila kitu
Ukiyumba mindset UMEKWISHA
👍👍Pesa hutiririka kwa wale wanaozisimamia vyema, si kwa wale wanaopata kipato kikubwa zaidi.
Maana yake ni kwamba si kiasi cha pesa unachopata ndicho kinachoamua hali yako ya kifedha, bali ni jinsi unavyozitumia na kuzisimamia ndicho kinachojenga utajiri au uhuru wa kifedha.
Sawasawa ✔️Pesa hutiririka kwa wale wanaozisimamia vyema, si kwa wale wanaopata kipato kikubwa zaidi.
Maana yake ni kwamba si kiasi cha pesa unachopata ndicho kinachoamua hali yako ya kifedha, bali ni jinsi unavyozitumia na kuzisimamia ndicho kinachojenga utajiri au uhuru wa kifedha.
SawasawaPesa hutiririka kwa wale wanaozisimamia vyema, si kwa wale wanaopata kipato kikubwa zaidi.
Maana yake ni kwamba si kiasi cha pesa unachopata ndicho kinachoamua hali yako ya kifedha, bali ni jinsi unavyozitumia na kuzisimamia ndicho kinachojenga utajiri au uhuru wa kifedha.
📌📌Mindsets is everything Haijalishi unaishi wapi au wewe ni nani
Ukiwa na poor mindset huwezi kufikia 1% ya watu bora bali utakua 99% ya watu wa kawaida
Unatakiwa kufanya vitu vya utofauti na kufanya kwa ubora wa hali ya juu
Akili yako ndo kila kitu
Ukiyumba mindset UMEKWISHA
SawasawaAcha kukimbilia kwenye ndoto za kufikirika.
Anza kuiishi ndoto yako bila kuyumba
✅️✅️✅️Acha kukimbilia kwenye ndoto za kufikirika.
Anza kuiishi ndoto yako bila kuyumba