Kati ya watu unaotakiwa kuishi nao kiumakini sana ni watu wa karibu yako,ni watoaji wazuri wa taarifa zako bila kujali yatakayojiri baadaye,wanaweza kuchochea furaha yako au kuiharibu kabisa,Kumbuka si kila aliyeko upande wako ni wako wengine ni mamluki.