Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unaweza ukatibu ugonjwa ila ukashindwa kumtibu mgonjwa
Kwenye maisha lazima uchague mambo ya kukomaa nayo na kuyapa muda wako vinginevyo maisha yana mambo mengi ya kukuchagua na kukomaa na wewe na utaishi hadithi ambayo wewe sio mwandishi hivyo hufahamu ilipoanzia wala itakapo ishia

Aisee, Hatariii
Kulinda moyo wako na afya yako ya akili , unatakiwa uwe makini muda wote kama vile unachemsha maziwa.
Always pay attention.
MAISHA NI Biashara Ambayo Inawakutanisha Watu Wawili
Tu
Muuzaji Na Mnunuaji, Sasa Hapo Kazi Ni Kwako Kuchagua
Uuziwe Au Uuze Chaguo Ni Lako.
Hakikisha Unacho Cha KUUZA,Usipokuwa Na Cha Kuuza, UTAKUFA Ukiwa Mteja Wawatu, Ambao Walichagua Kuwa Wauzaj

Sawa hiliMAISHA NI Biashara Ambayo Inawakutanisha Watu Wawili
Tu
Muuzaji Na Mnunuaji, Sasa Hapo Kazi Ni Kwako Kuchagua
Uuziwe Au Uuze Chaguo Ni Lako.
Hakikisha Unacho Cha KUUZA,Usipokuwa Na Cha Kuuza, UTAKUFA Ukiwa Mteja Wawatu, Ambao Walichagua Kuwa Wauzaj
NakubalianaKulinda moyo wako na afya yako ya akili , unatakiwa uwe makini muda wote kama vile unachemsha maziwa.
Always pay attention.
Ukihitaji usikilizwe sio lazima upande jukwaani na kipaza sauti bali uhalisia wako wa kutenda kwa vitendo ndio utakaogusa nafsi za watu wakajaa hisia za kupenda kusikiliza kwa makini kila utakachokiongea

SawasawaUkihitaji usikilizwe sio lazima upande jukwaani na kipaza sauti bali uhalisia wako wa kutenda kwa vitendo ndio utakaogusa nafsi za watu wakajaa hisia za kupenda kusikiliza kwa makini kila utakachokiongea
SawasawaJifunze kutunza kipato chako, Kuna ugumu mkubwa sana kwenye kupata na kuna Urahisi sana kwenye Kupoteza
✅️✅️Mti unaolingana nao kimo Hauwezi Kukupa Kivuli.