myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawa kabisaMti unaolingana nao kimo Hauwezi Kukupa Kivuli.

MuhimuKulinda moyo wako na afya yako ya akili , unatakiwa uwe makini muda wote kama vile unachemsha maziwa.
Always pay attention.
NAKUBALIVITA Ya Maendeleo Na Ujana Ni Kalii Sanaa.
SawasawaHakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa
Roho huwa na miito isiyo na sauti. Ukihisi kuwa mahali fulani hapakufai, hata kama ni pazuri—ondoka
Undugu sikuhizi ni Kama msitu tu , yaani ukiwa nje ya ukoo unaziona familia Kama zipo karibu na zinamshikamano hadi pale utakapo zikaribia na kuingia kwa ndani ndio utagundua kua kumbe kila mtu yupo kivyake na tena ndugu wako mbali mbali tofauti na wanavyoonekana kwa nje

SAWA KABISAHakuna njia ndefu Kama short cut , kua makini
Mstari kati ya maisha ya mtandaoni na maisha nje ya mtandao si mnyoofu tena na unazidi kufutika siku hadi siku. Kabla hujamnanga mtu humu mtandaoni, jiridhishe kuwa njia zako za maisha nje ya mtandao hazitakukutanisha nae mahala ambapo hatma yako itakuwa mkononi mwake.

Bahati ina miujiza mingi sana. Haina ahadi na mtu ye yote na mara nyingi huchelewa kwenda kwa mtu.

Kuna watu wanasaidia kila mtu si kwa sababu ni wema sana—wanajua maumivu ya kuomba msaada ukakosa
Kuna watu wanaishi kwa nguvu ya maumivu tu—hawana furaha, hawana matumaini, ila hawajakata tamaa kwa sababu bado wana pumzi

Hakuna mzigo mzito kama kuwa mkweli kwenye dunia inayoshabikia unafiki
Kweli kabisa hiliKuna maisha tulikua tunayaomba kwa machozi, leo tunayaishi kwa kimya. Tulichojifunza njiani kilitufundisha kutotangaza kila neema.