myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️
Hakuna mzigo mzito kama kuwa mkweli kwenye dunia inayoshabikia unafiki
Hakuna mzigo mzito kama kuwa mkweli kwenye dunia inayoshabikia unafiki
SawaSio kila anayekupenda atakusaidia, na sio kila anayekuonya anakuchukia. Hekima ipo kwenye kutofautisha.
Sawasawa ✔️Kama unaona huna wa kukushika mkono kwenye mapito yako, wewe mshike mwenyezi MUNGU yeye ni bora kuliko hawa wanadamu.
Kama unaona huna wa kukushika mkono kwenye mapito yako, wewe mshike mwenyezi MUNGU yeye ni bora kuliko hawa wanadamu.
SawasawaSio kila unaepishana nae njiani anarudi ukadhani anatokea unakokwenda hapana wengine ndio kwanza wanaenda ulikotoka
👍👍Sio kila unaepishana nae njiani anarudi ukadhani anatokea unakokwenda hapana wengine ndio kwanza wanaenda ulikotoka
“Pesa inakupa uhuru wa kuchagua. Watu hawatafuti pesa ili wawe matajiri, wanatafuta pesa ili wawe na uwezo wa kuchagua.
Pambana ili ubadili hali ya maisha ya nyumbani kwenu. Usipambane ili kushindana na marafiki
Pambana ili ubadili hali ya maisha ya nyumbani kwenu. Usipambane ili kushindana na marafiki
Hujazaliwa kushuhudia maisha, umezaliwa kuishi, na kuishi ni kupambana na kukabiliana na vikwazo kufikia wito ulioitiwa duniani.
Hujazaliwa kushuhudia maisha, umezaliwa kuishi, na kuishi ni kupambana na kukabiliana na vikwazo kufikia wito ulioitiwa duniani.
Sawasawa kabisaHujazaliwa kushuhudia maisha, umezaliwa kuishi, na kuishi ni kupambana na kukabiliana na vikwazo kufikia wito ulioitiwa duniani.
Kitu kimojawapo kinachompa mtu thamani ni kazi ,Na kazi ni shughuli yoyote ya halali inayompatia mtu kipato.
SawaMuda Utakufundisha Kuwa Sio Kila Rafiki ni Rafiki. Wengine ni Mashahidi wa Safari Yako na Sio Washiriki wa Hatima Yako.
Urafiki haupo Kwaajili ya Kutatua Matatizo Yetu Yote, Bali Kutusindikiza Kimya Kimya Hata Tusipojua Tunahitaji Kusindikizwa.
Muda Utakufundisha Kuwa Sio Kila Rafiki ni Rafiki. Wengine ni Mashahidi wa Safari Yako na Sio Washiriki wa Hatima Yako.
✅️✅️hofu inakunyima pesa,pesa inakunyima hofu!hivi viwili havipendani
Nakubaliana piaHekima ni kujua kuwa Hali hubadilika
✔️✔️✔️Muda Utakufundisha Kuwa Sio Kila Rafiki ni Rafiki. Wengine ni Mashahidi wa Safari Yako na Sio Washiriki wa Hatima Yako.
Uko sawamaisha ni mali yako uvivu wako humkomoi mtu!!