myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Maisha ni bundle unaishi kwa kulipunguza si kibubu kwamba unaishi kwa kuongeza. Ukishazaliwa, siku zako za kuishi haziongezeki tena bali zinapungua kutoka kwenye jumla ya siku zako za kuishi duniani. Kesho si nyongeza bali ni makato. Usihesabu zimebaki ngapi bali zimepungua ngapi
Tatizo linaanza pale unapolazimisha mpitaji awe mkaaji
SawaTatizo linaanza pale unapolazimisha mpitaji awe mkaaji
Wakati mwingine mjinga aliyeelimika huwa mjinga zaidi ya mjinga asiyeelimika.
Ndugu yangu chunga usije ukaliamini sikio mahala ambapo jicho limekudanganya!
Wakati mwingine mjinga aliyeelimika huwa mjinga zaidi ya mjinga asiyeelimika.
Ndugu yangu chunga usije ukaliamini sikio mahala ambapo jicho limekudanganya!
β οΈβ οΈβ οΈWatu Wawili Tu ndo Watakaokuelewa, Mmoja wao Aliepitia Hali kama yako na Mwingine ni Yule ANAYEKUPENDA SANA!
Watu Wawili Tu ndo Watakaokuelewa, Mmoja wao Aliepitia Hali kama yako na Mwingine ni Yule ANAYEKUPENDA SANA!
Maisha yatakupa sababu mbili za watu unaokutana nao, Ni wao wanahitaji ubadilishe maisha yao, Au wewe ndio unahitaji wabadilishe maisha Yako.
Maisha yatakupa sababu mbili za watu unaokutana nao, Ni wao wanahitaji ubadilishe maisha yao, Au wewe ndio unahitaji wabadilishe maisha Yako.
Sawa kabisa hiliMaisha yatakupa sababu mbili za watu unaokutana nao, Ni wao wanahitaji ubadilishe maisha yao, Au wewe ndio unahitaji wabadilishe maisha Yako.
Kila Baraka Mpya Inayokuja Kwenye Maisha Yako Huwa Inakuja na Aina Mpya ya Vita.
Hili kweliKwa Mwenye kiburi kua na jeuri , na alie mpole kwako kua mpole kwake na mbele ya mwenye busara kua na busara pia maana hiyo ndio njia pekee ya kuwasiliana na kueleweka mbele ya watu wenye tabia mchanganyiko
UJUMBE HUU MUHIMUKwa Mwenye kiburi kua na jeuri , na alie mpole kwako kua mpole kwake na mbele ya mwenye busara kua na busara pia maana hiyo ndio njia pekee ya kuwasiliana na kueleweka mbele ya watu wenye tabia mchanganyiko
Kwa Mwenye kiburi kua na jeuri , na alie mpole kwako kua mpole kwake na mbele ya mwenye busara kua na busara pia maana hiyo ndio njia pekee ya kuwasiliana na kueleweka mbele ya watu wenye tabia mchanganyiko
SawasawaKwa Mwenye kiburi kua na jeuri , na alie mpole kwako kua mpole kwake na mbele ya mwenye busara kua na busara pia maana hiyo ndio njia pekee ya kuwasiliana na kueleweka mbele ya watu wenye tabia mchanganyiko
Kila Baraka Mpya Inayokuja Kwenye Maisha Yako Huwa Inakuja na Aina Mpya ya Vita.
Chagua kujitenga na ujinga kabla hujawa mmojawapo kati ya wajinga
SawasawaChagua kujitenga na ujinga kabla hujawa mmojawapo kati ya wajinga