Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kukata tamaa ni moja ya kituo katika safari ya maisha ya kujitafuta , ukifika hicho kituo usijute kujiona unakata tamaa wala usipambane kutaka usijisikie hivyo, cha msingi endelea ni sawa kabisa kujiskia vibaya ikiwa mambo yako hayajaa kaa vizuri.endelea na harakati
Ujumbe muhimu
 
SAWASAWA
Jua huanza kuzama kabla ya giza kuingia, mambo magumu yakawa mabaya zaidi, ndoto ikawa jinamizi, biashara iliyokuwa inakubeba ikawa mzigo, nikipindi kinakutaka kuacha kuwa mpambanaji nakuwa mwanajeshi, kipindi cha kubadili vitu na watu katika maisha yako-wakati mgumu fanya magumu
 
✅️✅️✅️
 
Back
Top Bottom