myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hili naelewa
Elewa kwambaa kuishi na watu vizuri haitawafanya wao waishi vizuri na wewe
Elewa kwambaa kuishi na watu vizuri haitawafanya wao waishi vizuri na wewe
✅️✅️Kadri tunavyokuwa ndivyo tunavyotaka maisha yasiyo na kelele!!
📌📌Kwa kawaida kwenye maisha ya vijana huwa ni rahisi mno wao kutoa ushauri kuliko wao kupokea ushauri
✔️✔️Wakati wa anguko lako, weka kumbukumbu sahihi za tabia za watu, ili utakapoinuka tena, Usichanganye wanyama na wanadamu.
Watu pekee wanaoweza kuiharibu jamii ni wale wanaoujua ukweli lakini hawasemi kitu na wale wasioujua ukweli na bado wanaongea kila kitu hata wasivyovijua
Kwa kawaida kwenye maisha ya vijana huwa ni rahisi mno wao kutoa ushauri kuliko wao kupokea ushauri
Sawa kabisaWakati wa anguko lako, weka kumbukumbu sahihi za tabia za watu, ili utakapoinuka tena, Usichanganye wanyama na wanadamu.
Nakubaliana na weweUmri sahihi wa kufanikiwa,ni pale utakapo fanikiwa usichoke!!
Dunia haiwezi kusimama eti kisa una pitia wakati mgumu, au kisa una maumivu makubwa. Dunia inasonga mbele, cha msingi umia kidogo na songa mbele..!!
Sahii piaKuna time ili ulale lazima ujifanye umelala, Ili usingizi ukija ukukute umelala ndio Ulale.
SawaVita zote unazopigana ushindi unaweza usiuone kama ulivyotarajia lakini hata kumjua tu adui yako ni ushindi tosha.
Hakuna cha kudumu, kila kitu ni cha msimu isipokuwa misimu mingine ni mirefu mno.
👍👍Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.
✔️✔️Kwanza tafuta nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela. Katika kupitia hatua hizi ni lazima ukubali maumivu ya mchakato wa lazima.
📌📌Kiasi cha furaha ulichonacho kinategemea na kiasi cha uhuru ulionao moyoni mwako
SawasawaMakosa yanatupa uzoefu wa jambo, Hatupotezi ila Tunajifunza
SawaMakosa yanatupa uzoefu wa jambo, Hatupotezi ila Tunajifunza
SawasawaMakosa yanatupa uzoefu wa jambo, Hatupotezi ila Tunajifunza