myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
UJUMBE WA MAANA
Ukiitafuta sababu ya kukata tamaa utaipata, na ukiitafuta sababu ya kutokukata tamaa pia utaipata. Hakuna kitu kinachowafurahisha watu kama kukukuta pale pale walipokuacha. Kila wakati unapopata nafasi ya kupiga hatua basi piga hatua zako kuelekea mbele.