Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maisha yetu ni mzunguko. Kuna wkt utakosea ili ujifunze, utaumizwa ili upate nguvu, utaanguka ili uinuke, utapoteza ili upate, utashuswa ili upandishwe, utakataliwa ili ukubalike, utanyimwa ili upewe, utadharaulika ili uheshimike, na utaongelewa ili ujulikane.