Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Maisha yamejaa ushindani. Kamwe, usitamani kushindana na wenzio, bali shindana na wewe mwenyewe. Ukitaka kuwa bora, husitizame ya mwenzio, jitizame wewe mwenyewe, je wewe ni bora kuliko jana? Ewe mwanadamu shindana ja JANA yako LEO.