Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Thamani yako kwa wenzio hujengwa na kutunzwa. Siku zote jijengee hali ya kuwa kimbilio la watu. Zalisha furaha kwa wenzio na sio KARAHA. Ila tambua kuwa, ukitaka watu waijue THAMANI yako, kuwa SULUHUSHO la matatizo yao