Maishani utakutana na kila aina ya watu. Utakutana na watu wema, watu wenye husda, chuki na fitna na wengine husioweza kuwajua. Wewe mwenyewe, kuwa mtu MWEMA na husipoteze muda wako kuwaaminisha watu wema wako. Kumbuka, Tenda Wema Nenda Zako. TAFAKARI