myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Unapaswa kubadilisha maisha sio yakubadilishe!
📌📌Unapaswa kubadilisha maisha sio yakubadilishe!
✅️✅️Kama unataka kwenda juu sana lazma ukubali kwenda chini sana Ni lazima ufanye kitu cha tofauti kitakachokujengea future imara
Wana midomo yenye rangi ya njano hasa
sehemu ya shina na kuwafanya karibu nusu ya
midomo yao kuwa na rangi ya njano huku
sehemu ya ncha ikiwa na rangi nyeusi.
Wana mabawa marefu na mikia mirefu yenye
rangi ya kijivu iliyokolea na rangi nyeupe
kwenye ncha ya mikia yao
Madume wana macho yenye rangi ya njano
huku majike wakiwa na macho yenye rangi ya
kahawia inayo ng’aa zaidi.
Kichwani, mabawa na sehemu ya juu ya miili ya
ndege hawa wana rangi ya kijivu iliyo kolea
zaidi huku shingoni na kifuani wana rangi ya
kijivu iliyo pauka.
✅️✅️✅️Kekeo huyu hujulikana kama African Cuckoo
ambae kwa lugha ya kiswahili anaitwa KEKEO
KIJIVU.
👍👍Kekeo ndege ambao wanapatikana maeneo
mbalimbali hapa duniani ni wasiri sana lakini
kama nilivo dokeza kidogo hapo juu ndege
hawa huonekana kuwa na asili ya uvivu hasa
katika kuatamia mayai na kulea vifaranga
vyao.
Na ndio ndege ambae unaweza ukamfundisha
matendo hata lugha na akaielewa zaidi ya
Kasuku ndomana zamani alikuwa anatumika
kama mjumbe, mfano,Kupeleka ujumbe wa
maandishi sehemu fulani.
Kunguru, ndio ndege mwenye akili zaidi kuliko
ndege mwingine yoyote, ana uwezo wa kuiga
maisha ya binadamu na kuyaishii.
SawaKiongozi wa himaya katika jamii hii ya kekeo
huwa ni dume.
✅️✅️KUZALIANA
Unapofika msimu wa kuzaliana dume na jike
kwa pamoja hulia milio ya kuashiria tukio la
kupandana na dume ndio huwa ni mtawala wa
himaya.
Wadudu ambao ndege hawa huwapendelea
sana ni viwavi wenye vinyweleo na wasio na
vinyweleo.
SawasawaSauti ya dume hutoka kwa mlio wa “koo-koo-koo” ambao huwa na mfumo wa sauti ya piliila yenye kusikika zaidi huku sauti ya jikehusikika kwa mlio wa ”kwik-kwik-kwik”.
Sawasawa piaHuwezi kuwaona ndege hawa maeneo yenyemisitu minene.
Kasi kubwaWana uwezo wa kuruka kwa kasi ya kilometasitini kwa saa (km60/saa 1).
JE, WAJUA?
Baadhi ya jamii huamini kwenye sauti au milioya kekeo? Baadhi ya jamii hapa nchini Tanzania huaminikatika sauti au milio ya baadhi ya jamii zakekeo hasa kwenye suala la misimu ya mvua.
✔️✔️✔️Mara nyingi hupendelea kutaga kwenye kiota
ambacho mayai ya ndege huyo mwenye kiota
yanafanana na mayai yake ili ndege mwenye
kiota asiweze kugundua mayai hayo.