myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa βοΈTai ni ndege kama walivyo ndege wengine, ingawaje wao wana sifa za pekee hasa kutokana na ufundi wao wa kuwinda, kupaa na uwezo wao mkubwa wa kuona mbali. Kwa sababu kuna aina mbalimbali, hata maumbile yao yanatofautiana. Aina ya tai mwenye uzito mkubwa kabisa ni aina ya βStellerβs sea Eagleβ ana uzito unaofikia kilogramu 6.7.
πππTai ni ndege kama walivyo ndege wengine, ingawaje wao wana sifa za pekee hasa kutokana na ufundi wao wa kuwinda, kupaa na uwezo wao mkubwa wa kuona mbali. Kwa sababu kuna aina mbalimbali, hata maumbile yao yanatofautiana. Aina ya tai mwenye uzito mkubwa kabisa ni aina ya βStellerβs sea Eagleβ ana uzito unaofikia kilogramu 6.7.
β οΈβ οΈβ οΈBaada ya kutotolewa watoto wa kekeo huya
sukuma nje yakiota mayai au hata kama kuna
watoto wa ndege mwenye kiota ambao kwa
bahati mbaya mayai yalibaki kwenye kiota
wakati kekeo jike ana taga ili tu waweze kubaki
wenyewe, na hii ni chembe chembe za urithi
ambazo mpaka ukubwani nao hupelekea kuwa
wazazi vimelea.
Tai ni ndege kama walivyo ndege wengine, ingawaje wao wana sifa za pekee hasa kutokana na ufundi wao wa kuwinda, kupaa na uwezo wao mkubwa wa kuona mbali. Kwa sababu kuna aina mbalimbali, hata maumbile yao yanatofautiana. Aina ya tai mwenye uzito mkubwa kabisa ni aina ya βStellerβs sea Eagleβ ana uzito unaofikia kilogramu 6.7.
Jambo la tatu
Tai hali mizoga. Anakula kile tu alichokamata yeye.
Tunajifunza nini? Kuwa makini na kile unacholisha macho yako, masikio yako hasa kuangalia filamu na luninga. Usipende kutumia mizoga (mambo machafu) kwa sababu utaiharibu nafsi yako na maisha yako hayatakwenda kwa kasi kubwa ya mafanikio.
βοΈβοΈJambo la pili
Tai wanauwezo wa kuona mbali sana. Wanaweza kuona kitu kilichoko umbali wa kilometa tano. Tai akiona mawindo yake huangalia pale pale na huanza kwenda kukamata mawindo hayo kwa kasi kubwa. Haijalishi kama kuna vipingamizi vyovyote njiani, tai hatabadili kuangalia mawindo yake hadi akamate mawindo.
Sawasawa βοΈJambo la pili

Jambo la kwanza
Tai hupaa juu sana angani wala shomoro na kunguru hawawezi kufika huko. Hakuna ndege yeyote mwenye uwezo wa kupaa juu sana kufikia kimo anachofikia tai, labda awe tai mwenyewe. Mara nyingi huwa tunawaona mwewe wakipita sehemu fulani, shomoro na kunguru huwazomea, lakini tai hataki vurugu hizo.
Tunajifunza nini? Kaa mbali na shomoro na kunguru. Tai huruka na tai wenzake
Nakubaliana na weweJambo la kwanza

Pia NakubalianaJambo la tatu
Tai hali mizoga. Anakula kile tu alichokamata yeye.
Tunajifunza nini? Kuwa makini na kile unacholisha macho yako, masikio yako hasa kuangalia filamu na luninga. Usipende kutumia mizoga (mambo machafu) kwa sababu utaiharibu nafsi yako na maisha yako hayatakwenda kwa kasi kubwa ya mafanikio.
Tunajifunza nini? Katika maisha yako binafsi au katika biashara yako, unatakiwa kupima mtu unayetaka kushirikiana naye kama kweli amedhamiria kushiriki na wewe. Maana wapo wengine ni waigizaji tu.
πππTai jike ataendelea na mchezo huu mpaka ajiridhishe kwamba tai dume huyo, yuko vizuri na amefuzu majaribio hayo, hapo ndipo tai jike atakubali kupandwa na tai dume huyo.
Akifika umbali mrefu angani tai jike huliachia hilo tawi na tai dume hulikimbilia mpaka alikamate kabla halijadondoka chini na akisha likamata analirudisha tena juu kwa tai jike.
Tai jike atalipokea hilo tawi na anapaa nalo juu sana halafu analidondosha tena. Kama kawaida yake tai dume atalifukuzia mpaka alikamate na atalirudisha kwa tai jike tena.
ππJambo la tano
Tai hupima kwanza kabla ya kuamini.
Tai jike akikutana na tai dume na wakataka kujamiiana, tai jike hupaa kwa kasi kubwa kwenda chini wakati huo tai dume anafuatia kwa nyuma. Akifika chini huchukua tawi la mti kisha hupaa tena angani na tawi hilo huku tai dume anafuata kwa nyuma.
β οΈβ οΈβ οΈTunajifunza nini? Tunaweza kutumia mvua kubwa yenye upepo (changamoto) kujinyanyua juu sana . watu wote waliofanikiwa wengi wao hufanikiwa wakati wa changamoto kubwa. Wao hutumia mvua ya upepo kupaa juu sana angani tena wakati mwingine juu ya mawingu.
ππKisha, tai dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Tai dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota.
βοΈβοΈβοΈTunajifunza nini? Pale tai wanapoandaa kiota wanatufundisha kujiandaa kwa ajili ya mabadiliko. Lakini ushiriki wa mke na mume ni muhimu sana ili kujenga familia yenye mafanikio.
Wale watoto wakirudi kwenye kiota watakutana na miiba itawachomachoma na kuvuja damu. Kisha tai jike atawarusha chini wale vifaranga; kabla hawajadondoka tai dume atawadaka ataendelea na zoezi hilo mpaka watoto wafahamu kuruka.
Wale watoto wakirudi kwenye kiota watakutana na miiba itawachomachoma na kuvuja damu. Kisha tai jike atawarusha chini wale vifanga; kabla hawajadondoka tai dume atawadaka ataendelea na zoezi hilo mpaka watoto wafahamu kuruka.